Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zitto anaandika kupitia twitter kuwa ripoti anayosoma kuhusu kesi kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya Accacia Mining(LCIA Arbitration No.UN1736886 no.87) ni heartbreaking na kwamba issue ya makinikia italeta aibu kwa nchi na kusababisha gharama kubwa.
Zitto: Ripoti kuhusu kesi kati ya Acacia na Serikali ya Tanzania katika mahakama ya usuluhishi huko London ni "heartbreaking" - JamiiForums
kwa vile hamuoni raha tanzania ikidai haki yake hahaha tutawabana mpaka tujue hatma yake😀😀😀😀😀😀 na makinikia hayatoki wewe lia au tapika ila safari hii akili mutatia tu😀😀😀😀😀😀😀
 
kwa vile hamuoni raha tanzania ikidai haki yake hahaha tutawabana mpaka tujue hatma yake😀😀😀😀😀😀 na makinikia hayatoki wewe lia au tapika ila safari hii akili mutatia tu😀😀😀😀😀😀😀
Tutawabana, HEARTBREAKING?
 
Uliskia Kenya ni mashamba yote? infact only 35% ya kenya ni suitable for Agriculture. That is Rift Valley,Central,Western & South Nyanza the rest ni semi deserts yet Agriculture is the backbone of our economy! On top of that, corruption,terrorism na tribalism but still we stand tall! Nyinyi on the other hand Land mnayo yakutosha, Manpower, Coastal line na tusisahau tourism & minerals but still mko LDC GDP ni 50blntusisahau you guys have zero millitary expenditure na sisi infact we are military active with a gdp growth rate of 5.4!! Plus IDPs from Ethiopia/Sudan/Somalia!! Heshimu Kenya mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
alaf hio 35% arable land imeshikwa na kenyatta na settlers wakipanda maua kupeleka uzunguni ndio maana mumesongamana kwenye slumskama nguruwe, ukija kwenye tourism ndio kabisaa bora unyamaze tulishawalaza chali muda tu
corruption terrorism na tribalism sisi hazituhusu milijitakia wenyewe sasa usitake ku create fact ionekane mumeonewa sana na MUNGU
kuingizwa kwenye kundi la failed state ilikua halali yenu alaf hapo utambue tanzania imeanza kunyanyuka just 10yrs ago lakini inawapeleka speed ya farasi😀😀😀😀😀😀😀😀 magu chuma
 
Korogocho
images.jpeg
 
Back
Top Bottom