πππ Hawa jamaa sio level yetuπππPOVU.
[emoji23] [emoji23] buda nilishatuma kitambo...kwani uko kwa kichaka nin??Tuonyeshe simu unatumia kwa screen shot.[emoji23][emoji23][emoji23] Hapa niko na three smart phones pamoja na smart watch.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 848748
Jamaa wa kibera hana time ya kuwa jf online debating with a danganyika..hao ni watu wanahustle.wanakazana...life ni tafash budaTunaomba kuona simu unayo tumia
[emoji23][emoji23][emoji23] Tunaweza kuwa tunabishana na mtu wa Kibera[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa jamaa sio level yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
hatutaki mchezo Dar ni nomaThe power of Dar π [emoji484][emoji4]π΅οΈ
View attachment 848006View attachment 848007View attachment 848008View attachment 848009View attachment 848010View attachment 848011View attachment 848012
ldc wanawaonyesha maajabu Middle income.hivi ni kweli nawewe bro huna simu ya maana???sema kama wamekuibia,mimi siamini.enyewe level ya ldc tumewaachia..............hatuko hiyo level
ldc wanawaonyesha maajabu Middle income.hivi ni kweli nawewe bro huna simu ya maana???sema kama wamekuibia,mimi siamini.
ni nini mmetushindia pasi na kuwa ldc...lolhii vita nayo mshindwe!!!hata simu nzuri tuwachape!!
Nazi kazitayari tumeshatua entebe uganda[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
magu chuma
View attachment 848107
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kenya security ni zerooooaskari shupavu wa kenya akiwa katika harakati za kukabili wakora.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 848111View attachment 848113
asante kwa kuja
DAR CITY best city in Africa nadunia kwa ujumla
huyo naye ni punganilikuwa nakuheshimu sana buda, ila tangu jana nimeaanza kupata mashaka kuhusu wewe.
statistics tumegundua kuna uhuni wa kujichorea,kwani umesahau wakenya mill 40 wanatumia internet,yaani ni mill 7 tu ndio hawatumii.leta statistics ya internet usage in east africa.......tuanzie hapo.