Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

izi vitu za 20, 22floors ndio nini? nyi munafaa kushindana na Mombasa. Nairobi epukeni nayo kabisa. chukua 22floors, unganisha mara tatu juu na bado haufiki Hass Towers @ 67floors
Aaahhh ndo maana tuliwapiga kwenye majengo juu ya 20flr
 
sasa 22floors ni takataka gani? unganisha 22 mara tatu na bado haufiki Hass Towers. Kichwa maji. munahitaji kuwa colonised na waKenya ndio muweze kuendelea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Af Hass tower lenyewe bado halijafika ata nusu
 
ondoa Tpa na Pspf, Mombasa inawatandika kwa kila sector. sasa munalia nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama Nairobi tuliwacharaza towers above 20flr ndo ulete mji wa vijengo viwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania kuna 5 towers above30flr ndo utuletee vijengo viwili ambavyo havijafika ata 13

Sisi tuna tpa 40 nyie UPA 33
Sisi tuna pspf 35/35 nyie BRITAM na [emoji17]
Sisi tuna RITA nyie mna [emoji17]
Sisi tuna MILLENIUM nyie mna [emoji17]
 
There is no slum in dar this are apartments to them.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Rudi google utafute
kiongozi au Msanii
alie kwenda kutembelea Slum
au kaandika neno Slum Tanzania au Dar

Neno Slum ni maarufu Kenya
kila Mazungumzo ya Wakenya hukosi neno Slum

ona huyu mkenya
Tafuta kokote
uniletee Vinyumba kama hivi Dar
mabanda mabanda haya!!

Haya si makazi yakuishi mwanadu
ni Laana kumuacha mwanadu anaishi humo!!
 
There is no slum in dar this are apartments to them.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mie nacho kiomba utakapo rudi
uniletee vijumba kama hivi Kutoka Dar

Hii ni Nairobi
Binadamu anaishi Makazi haya!!
bado mnajiita Middle..!!




Makazi haya hata hawa Bata ni laana kwa Mungu kuwa laza humo
lakini kwa wakenya Hii ndio Nyumba ya makazi yao maishani!!
Nikuulize Hawa bata wana lala wapi
ikiwa hii nyumba ana lala mkenya!!


Hapa unashindwa kuelewa hii ni kambi ya wakimbizi au la!!
Kumbe ni Makazi halisi ya Wakenya !!!
KWELI MUNGU ATUHURUMIE
 
There is no slum in dar this are apartments to them.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwikwikwi. Umeona nyumba zetu za uswahilini. Ni bora sana tena zimejengwa kwa blocks. Siyo zenu za kufugia nguruwe. Kwikwikwi.
 
Link please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…