Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio darislum yenu pakubwa imeendelea tu 4% of the total area.......a congregation of corrugated swahili swath of shacks in some cocktail of primitivity and extreme poverty
locate then in a google map.
 
mnajifanya hapa ila mnajua mji wenu mchafu na una umaskini wa hali ya juu.....asilimia 80 wanalala kwenye viota kama vile tulivyoona kwenye aeriel views na ndege angani
viota visivyojulikana google hvyo ni vya bibi yako,wewe unaona bati zisizo na rangi unadhani ni nyumba mbovu kama za kenya!!!
 
mnajifanya hapa ila mnajua mji wenu mchafu na una umaskini wa hali ya juu.....asilimia 80 wanalala kwenye viota kama vile tulivyoona kwenye aeriel views na ndege angani
Tunaomba kuona simu unayo tumia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tunaweza kuwa tunabishana na mtu wa KiberaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui mbona mnautoto sana most Tanzanians.... bragging juu ya masimu za below $1000.
Kuweni wanaume kamili
Tuonyeshe ya kwako.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama sio Itel basi technoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nairobi CBD imejaa billboards za ITELπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…