AbassChizzy
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 546
- 201
[emoji23] [emoji23] buda i pity your limited mind..do you know that theres a tecno worth 900 USD...we unatumia itel ama Xiomi cha china??usiabike..simu ni simu..tuonyeshe yako..ama ni mkebeTuonyeshe ki Techno kama uko nayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Too much repetition. You guys hamna photographer kama NDINDA??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hadi Sunday unafanya kazi you are just slave?😂😂😂 You are busy working for money but money is not working for you😂😂😂Zii.kwani unadhani nani ako na wakati wa kuzunguka idle akipiga picha kila building na maua..huku kazi buda..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jf kuna majobless bongolala wengi...we work for money to invest and get more money and retire mapema tuje dar tujienjoy we bado ukisaka doh...Kama hadi Sunday unafanya kazi you are just slave?[emoji23][emoji23][emoji23] You are busy working for money but money is not working for you[emoji23][emoji23][emoji23]
tuko tunabishana na tu humu,ila maisha ya kila mmoja ni sili yake.kwa asili watz hatupendi kelele.[emoji23] [emoji23] buda i pity your limited mind..do you know that theres a tecno worth 900 USD...we unatumia itel ama Xiomi cha china??usiabike..simu ni simu..tuonyeshe yako..ama ni mkebe
Sent using Jamii Forums mobile app
si picha mnatuma humu,au kuna ambazo mmeacha???Umetembea Nairobi lately??
[emoji23] [emoji23] dude your disillusioned..who told you everyone likes an iphone..ama samsung za kwenyu use iphone operating system...an iphone is not a status quo...ama hyo simu yako ya itel use IOStuko tunabishana na tu humu,ila maisha ya kila mmoja ni sili yake.kwa asili watz hatupendi kelele.
haipendezi unakuja kunadi nyumba za nairobi na magari mazuri kumbe unazungumzia mali za watu,hata pesa ya matumizi ya kawaida ni tatizo kwako.
hiyo tecno ya dollar 900 haiwezi kununuliwa kwa bei hiyo mtu akiacha iphone 8 au s8.
Unatafuta pakutokea sio[emoji23]Zii.kwani unadhani nani ako na wakati wa kuzunguka idle akipiga picha kila building na maua..huku kazi buda..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye picha ya jengo jipya la wizara ya maji pale njia ya kuingia Udsm aitupie
Sent using Jamii Forums mobile app
sijasema ulichokiandika hapa mimi,ila ujue tu hakuna mtu na kipato cha kueleweka akamiliki tecno ama itel ya dollar 900 labda huko kwenu kenya.maana huko kuna kila aina ya vioja.[emoji23] [emoji23] dude your disillusioned..who told you everyone likes an iphone..ama samsung za kwenyu use iphone operating system...an iphone is not a status quo...ama hyo simu yako ya itel use IOS
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi. Sam Nujoma inafuata nyayo za kijitonyama maana majengo yanaota kila siku. Tupia pia na lile jengo opposite na Mlimani City.Nilipita pale Jana nikalikaushia nikapiga huu mpini, [emoji23]
Siku nyingine nikipita hapo ntafanya mambo.
View attachment 848701
Hii ndo simu natumia kwa sasa.. Hapa nipo nazo mbili 🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤗🤗 Unataka nikuonyeshe nyingine??[emoji23] [emoji23] buda i pity your limited mind..do you know that theres a tecno worth 900 USD...we unatumia itel ama Xiomi cha china??usiabike..simu ni simu..tuonyeshe yako..ama ni mkebe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba simu yako[emoji23] [emoji23] buda i pity your limited mind..do you know that theres a tecno worth 900 USD...we unatumia itel ama Xiomi cha china??usiabike..simu ni simu..tuonyeshe yako..ama ni mkebe
Sent using Jamii Forums mobile app
Post hyo screenshot ya "iphone" yako tuione..usiabike kaka..your identity is cognito hapasijasema ulichokiandika hapa mimi,ila ujue tu hakuna mtu na kipato cha kueleweka akamiliki tecno ama itel ya dollar 900 labda huko kwenu kenya.maana huko kuna kila aina ya vioja.