Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,290
- 3,647
kisha na wewe pia unaiamini hio list?Hapana Nbo sehemu za ovyo ni nyingi sana
Kuna list hua inatumwa hapa mara kadhaa usijifanye umeisahau
Kibera, mathare,kariobangi nk
Sasa Dar sehemu za uswahilini ulikolea ni tandale,manzese,mwananyamala, mbagala ,kigogo Na maeneo ya mbagala...Yaani haya yote kwa ujumla wake bado hayajafikia hata robo ya uchafu wa slums zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna sehemu nyingi sio slums kw hio list, pia kumetatajwa ambazo haziko Nairobi. usiamini kile ambacho unachoambiwa. mwenzenu alikuwa Nairobi last week na hakuamini macho yake jinsi Nyerere alivopigwa na butwaa miaka ya nyuma, akaifananisha Nairobi na London.

