Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This guy is just an honest Tanzanian and the fact that he can ask for a job online without fear of how people will think about him tells everything. Meanwhile you continue lying about the obvious ati 2% unemployment and some utopia.

basi kama yeye ni honest msaidieni kupata kazi huko kenya maana tayari yeye anaamini tz iko chini japo hakufafanua chini kuhusu nini.
 
punguza hasira baada ya kuikana dar mbele ya kadamnasi na kushikwa peupe 😀😀😀
hasira hasara
wewe huwezi nishika mimi,huyu shoga ni wenu tena anishi mombasa,sasa sijajua atakuwa ni nani kati yenu wewe,mwaswat,anord,and the like,yaani mmenasa mapema sana huu mtego.

dar itaendelea kuwakimbiza mpaka mlale bila nguo.
 
watazania mkazue mioyo yenu migumu msalimu amri tu kuwa Nai ndio kusema.....hahaha.mnatumia nguvu nyingi sana ila uwezo wenu dhaifu mno
huoni unatumia nguvu na muda mwingi sana kupinga hilo!!!!kwanini usipuuze kama ni kweli!!!
 
chini ya wapi?... ya mnazi?.

wewe binafsi ndio upo chini, sio tanzania. thread yako uliyoianzisha tarehe 30/ 01/2018 inajieleza dhahiri shairi.
View attachment 846282
wasalimie watu wa mbeya.
anatia haibu huyo wakukaja... ....watu wa mbeya hawakuwagi hivyo huwa niwapambanaji nawasiwasi atakua ni mzamiaji huyo kutoka zambia[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
wape makavu
 
una utoto mwingi....haujakua
 
certains d'entre nous ne sont pas allés à l'école pour apprendre le français, merci de vous en tenir à l'anglais.
sipotezi mda na chokoraa kama wewe unayetumia uwezo mdogo wakutranslate...[emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…