And that is supposed to be funny.....hahaha!..i would like to meet your grandma!kijana bila shaka wewe ni fresh from college, bado hujafahamu baadhi ya vitu kuhusu kenya na namna inavyosaidiwa na tz.
labda tu nikwambie, nguvu yenu ya kwenda chooni kunya mavi hapo kenya inatokana na chakula toka tz.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 846782View attachment 846783View attachment 846784
I apologise for that..how about this......kindly check United republic of Tanzania and if you notice Kenya please halla me!UNCTAD | UN list of Least Developed Countries
utajua haujui.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]And that is supposed to be funny.....hahaha!..i would like to meet your grandma!
kwa salary ya job gani uko nayo upate uwezo wa kulipa rent ya two bedroom house nairobi?, labda nje ya nairobi au kwenye slum za mathare na kibera.[emoji23][emoji23]
two bedroom huwezi afford...size yako ni bedsitter..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 846450View attachment 846451View attachment 846452View attachment 846453
punguza hasira jobless youngman.usiwashwe washwe na 2 bedroom yangu old man...nilikwambia anza kuandika will...watanzania waliozaliwa the age of the dinosaurs hawawezi waka afford Nairobi
sasa hizo nyumba na gari zitakusaidia kivipi wewe unayemea mvi kwenye makwapapunguza hasira jobless youngman.
jitahidi usifike thirty ukiwa huna job,itakusababishia stress mob.
btw wakati wewe ukijivunia 2 bedroom ya ku-rent kwa caretaker mkikuyu, mimi namiliki nyumba zangu tatu hapa dar, zote ni self contained 4 bedroom zenye backyard kubwa zenye uwezo kupaki magari zaidi ya matano.
povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu dogo ngoja nimualike kazi ya Shamba akakae matombo anisamimie ndizi zangu, anaonekana ana hasira mbayakijana bila shaka wewe ni fresh from college, bado hujafahamu baadhi ya vitu kuhusu kenya na namna inavyosaidiwa na tz.
labda tu nikwambie, nguvu yenu ya kwenda chooni kunya mavi hapo kenya inatokana na chakula toka tz.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 846782View attachment 846783View attachment 846784
muulize mama ngina kenyatta na mzee moi, ardhi kubwa waliyopra toka kwa wakenya masikini na mali nyingi walizoiba serikalini, zitawasadia nini ilhali wao ni wazee vikongwe wana mvi mpaka sehemu za siri.sasa hizo nyumba na gari zitakusaidia kivipi wewe unayemea mvi kwenye makwapa
sawa mzee kobemuulize mama ngina kenyatta na mzee moi, ardhi kubwa waliyopra toka kwa wakenya masikini na mali nyingi walizoiba serikalini, zitawasadia nini ilhali wao ni wazee vikongwe wana mvi mpaka sehemu za siri.
ukipata jibu kaa nalo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tena bratha.Week iliyopita nilikua Nairobi kenya na kilichonipeleka ni business deal
Unajua nairobi kuna bidhaa nyingi mno na first class kushinda hata dar
Pamoja na hilo nilitumia siku moja kufanya manunuzi yangu ya kibiashara pamoja na madeals kadhaa ya biashara nilifanikisha
Nikapata siku mbili za kula bata na kutembea hii ni mara yangu ya kwanza kuwa nairobi but sio first time kuwa kenya nimewahi tembea sehemu nyingine za kenya mara nyingi tyu
Nije kwenye point kiukweli nairobi ndo jiji bora kabisa east africa jiji linavutia mnooo halafu vitu vingi na vitega uchumi vingi vipo nairobi na nairobi ina
"watu wako na pesa mingi "
Dar tuna ya kujifunza kutoka nairobi.Jamani Msije mkasema nimeifavour nairobi kisa nimeenda noo nimetembea pia miji mingine hapa east africa mfano nilishaenda kigali ni jiji lenye mvuto ila the best ni nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui ulimsikia nani akisema kuna jiji bora zaidi ya nairobi EA. dar bado sana ila tukaze mwendo
well said bruv!Nairobi ni jiji kubwa na lenye uchumi mkubwa na imara kuliko yote Africa mashariki ndio.
Nairobi huwezi kuifananisha na Dar es Salaam, Kigali, Bujumbura na Kampala
Nairobi na Kenya kwa ujumla ipo mbele kimaendeleo kuliko nchi zote za Afrika mashariki
No signature!
tuwakaribishe watu kama hawa ambao nia yao ni kusema ukweli...sio ushabiki mtupuKaribu tena bratha.
Usisahau kuwafahamisha na wenzako pia.
kasarani bratha sio ya watu chini ya 50k...kisha kuna wakati ambapo watu hujitokeza kwa wingi kutazama michezo haswa ikija kwenye riadhaLeo nimeangalia Mashemeji Derby K24 game iliyofanyika Kasarani cha ajabu stadium ya kuingiza watu below 50k lakini uwanja ulikua mweupe kweli...
Natamani siku ya Dar as Salaam Derby waangalie crowd ya fans pale National stadium then walinganishe.....
hahaha uwkeli wanajua...ila lazima wabishane tu ndio walale vyema usikuata hawa wako hapa pia wanajua ukweli lakini wanajifanya vichwa maji. nimeshangaa sana hata kumwona mkorinto akiikana dar mbele ya umati
ulicheki game ya leo??kasarani bratha sio ya watu chini ya 50k...kisha kuna wakati ambapo watu hujitokeza kwa wingi kutazama michezo haswa ikija kwenye riadha
krkrkrkr,kwakweli dar inakwenda kuipita nairobi,japo nairobi imeizidi dar kwa kipindi kirefu.