Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

endelea kutafuta slum kwa torch ukipata nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

kama ukikosa okota picha za nigeria na sieralione useme dar umeskia[emoji13][emoji13][emoji13][emoji122][emoji122]

Sina huo mda wewe kilaza lumumba. Mimi nilishakubali JIJI KUU liitwe JIJI KUU. Na JIJI KUU ni NAIROBI.

dar kijiji sana
 
hapa tunamwayamwaya ki mziki wa zainabu kopa.......mtajua hamjui
endeleeni kuokota picha za google heheh maji yakikaa shingoni hua munakimbia google kuokota picha za googleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Sina huo mda wewe kilaza lumumba. Mimi nilishakubali JIJI KUU liitwe JIJI KUU. Na JIJI KUU ni NAIROBI.

dar kijiji sana
umekosa slum nimekuruhusu sasa okota picha za congo au nigeria useme dar nimekuruhusu ili moyo wako usuzikeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

jiji kuuu ndio hiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
munamuona mzungu mjinga sana
 
Ata Johannesburg, arguably one of the biggest and developed urban areas in Africa wana SOWETO.. Hivyo hutubabaishi na mipicha zako, ndugu

NAIROBI mtaisubiria sana [emoji23][emoji88]
 
Ata Johannesburg, arguably one of the biggest and developed urban areas in Africa wana SOWETO.. Hivyo hutubabaishi na mipicha zako, ndugu

NAIROBI mtaisubiria sana [emoji23][emoji88]
tatua tatizo lako kwanza kabla hujaangalia la mwenzako ujinga mlionao nyie ni kujifananisha na kila nchiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ deni la marekani pia munajifananisha naloπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

chukueni miaka30 mufike sehemu dar imefika😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…