Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upper hill au westland ikifikia density kama hii ya ilala nitag😂😂😂👇👇
 
wakazi wa dar wanamaisha duni sana yani hadi noma pia jiji la Dar kuna watu masikini wengi wanaisha kwenye mabanda unplanned settlement pia Dar ni jiji lenye vijiji ndani yake
hahaha.... vijiji ndani ya jiji tena? ndio maana dar haina metro. sehemu iliyoendelea dar inatoshana na Mombasa ambayo ni 300sqkm,,, au hata Mombasa ni kubwa mno.
 
bora tu kumuhamisha maana sio kwa ujinga huo ambao angeambukizwa huko.
hongera.
 
upper hill au westland ikifikia density kama hii ya ilala nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 841130
Sihitaji kueka picha ya upper hill au Westland kupambana na upuzi kama huu,lakini nakuwekea umoja phase 1 ambayo hata kariokoo haifiki bei.....umoja phase 1[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha.... vijiji ndani ya jiji tena? ndio maana dar haina metro. sehemu iliyoendelea dar inatoshana na Mombasa ambayo ni 300sqkm,,, au hata Mombasa ni kubwa mno.
You can't find a bigger rich suburbs the size of Nyali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…