ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kisu shingoni enhhhhh munazuga sasa hahahhahahha niliwaambia hatoki mtu humu ndani hahhahahahhahah munaniletea hesabu za kipuuzi hhehhehehheoona sasa. kila mtu anajua unabamizwa mpaka umefanya kengeza waona 12 kuwa 21 na 15 kuwa 51. hahahaha