Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚business minded
ongeeni vya kuongea lakini safari hii mutanyooka tu kama ndege imesimamishwa kufungwa wifi systems na ile ni brand new aircraft bado iko majaribioni sijui nn mnashangaa hapo au munafkiria hii ni kama hzo ndege zenu mlizokodi kwa wazunguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
heheh leo nimeamini kumbe msumari wa air tanzania sasa umeanza kuwagusa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani dream liner kusimama kwa ajili ya kufungwa wifi systems imekua nongwa kwao 😝😝😝😝 kweli magu wewe ni chuma
 
Ndege hununuliwa ikiwa na kila kitu mnachohitaji. Ati WiFiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kazi yake imeisha tu hivyo
 
Ndege hununuliwa ikiwa na kila kitu mnachohitaji. Ati WiFiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kazi yake imeisha tu hivyo
ile ni ndege mpya kabisa na bado iko ndani ya kipindi cha majaribio ndio maana unaona mpaka leo haijaanza safari za nje ya nchi
msikilize engineer huyo na mkurugenzi wa airtanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kununua ndege hamujawa lakini munajifanya wajuajiπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…