[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wacha tu asume we bado uko 2016[emoji23] [emoji23] [emoji23] GDP growth ya kenya sahii iko 5.8% na uko hapa unalia 4.4[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza it is predicted to hit 6.3 by next year kweli hamtutakii nyinyi but soon mtaisoma lable tukiingia 100bln GDP mkiwa 60bln[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani mko bado nyuma saaana ebu imagine 80-50=30!! Hio nikubwa kuliko GDP ya Burundi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] its like mnajenga economy ya country ingine from scratch[emoji23] [emoji23] [emoji23] mko na shida kweli nyinyi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hehehe malengo makubwa uhalisia mdogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena wasifkiri speed waliokua nayo nyuma ndio watakwebda nayo hio hio
miaka mitatu ya nyuma walikua na economy growth of 7% + leo hii wanagrow na 4.4%[emoji13][emoji13][emoji13]
Lakini after 9 months upende usipende lazima kizaliwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yani hio SGR bora unyamaze wakenya walichokitarajia wamekuja kuoneshwa kitu hawakutegemea kabisa
pinnacle na montave hzo kwa lugha nyingine hua tunaita mimba changa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
iko kwenye finishing sasa hvi nikipita ntakupigia pic😂😂😂Hii haijawahi kuisha since 2016
pole sana ndugu yangu naona unaongea kwa maskitiko makubwa😂😂😂Lakini after 9 months upende usipende lazima kizaliwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kumbe you expect😂😂😂😂 from 4.4 to 6.3 we unafkiria ni kama unahesabu mayai😝😝😝😝😝[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wacha tu asume we bado uko 2016[emoji23] [emoji23] [emoji23] GDP growth ya kenya sahii iko 5.8% na uko hapa unalia 4.4[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza it is predicted to hit 6.3 by next year kweli hamtutakii nyinyi but soon mtaisoma lable tukiingia 100bln GDP mkiwa 60bln[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani mko bado nyuma saaana ebu imagine 80-50=30!! Hio nikubwa kuliko GDP ya Burundi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] its like mnajenga economy ya country ingine from scratch[emoji23] [emoji23] [emoji23] mko na shida kweli nyinyi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua ichoboy sitakupostia picha za pinnacle anytime soon lakini update utapata soon na hauta amini macho yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utapigwa na butwaa! Brother na hapo ndio utaanza kuamini Nairobi sio Dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]lakini inakuchoma sio kama pinnacle na monatave[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu leta latest updates tuone basiWako kwenye finishing
Huyo obama amewasaidia nini,,ukisema tufuatilie chimbuko all black amerca nature yao ni africa hebu wacheni ushanbaKwa hii dunia dreamers are the ones who make it in life, The last time a kenyan tried to dream we produce the 1st black American president na siku za Campaign 2007 watanzania na South Africans made jokes of him being Kenyan but mwishoe mlisoma number[emoji23] [emoji23] [emoji23] another time high school students in kenya had a dream and three years later M pesa was born! Msicheze na ndoto za mkenya! Kumbuka juzi Uhuru akiota SGR mkatucheka na miaka mitano badaye Mnafuata hio trend. Leo tunaota Pinnacle mnacheka mkisahau ni juzi tu mlicheka ndoto la Britam na Avic kesho sijui mtasemaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu msee sijui anadhani watu huamka na kupachika buildings out of nothing ama nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]😡😡Kwani wanapanda mahindi??
labda upost render ntakuelewa😂😂😂Unajua ichoboy sitakupostia picha za pinnacle anytime soon lakini update utapata soon na hauta amini macho yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utapigwa na butwaa! Brother na hapo ndio utaanza kuamini Nairobi sio Dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mm nimeona udongo na sio ujenzi😂😂😂😂Huyu msee sijui anadhani watu huamka na kupachika buildings out of nothing ama nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa what exactly are you trying to say?[emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi tunaproduce mafuta na kuexport nyinyi mnapitisha ya wenyewe na kuexport kwa niaba yao faida mnapata ni 10% .UG =90% while sisi tunapata 100% ukiweka kando foreighn costs Kenya bado inakula faida kubwa kuwaliko & by the way sahii already transportation inaendelea to Mombasa making kenya the 1st East African nation producing & exporting crude oil, endeleeni kumgoja 2020[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi hatuna haraka mafuta ni yetu bandari ni zatu pipeline ni yetu so sisi ni kurelaxdua la kuku halimpati mwewe my friend by 2020 pipeline itakua tayar na mafuta yataanza kupita kwenda bandar ya tanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
alafu nioneshe oil refinery company in kenya nasubiria hapa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
mzungu anachukua crude oil anapeleka kwao alaf anairudisha kuwauzia ikiwa refined tayari kwa pesa kubwa
Kushindwa ndio hamwezi kukubali thats why mtabaki kuwa nyuma mkijipiga kifua kama LDC[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]so unakataa hzo ndege sio leased[emoji23][emoji23][emoji23] yani ndege za mzungu pia munazilazmisha ziwe za kwenu
Na hio ni Mombasa! Dar mjichunge msipitwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]daraja limewashinda hio cable car mutaiweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jubilee iliwadanganya kua itajenga daraja nafkiri sasa ni miaka 15 imepita [emoji13][emoji13][emoji13]
Hatupendi Hasara sisi (we work with strategy)anhaa kumbe mulijua kujenga a bridge ni very expensive pesa hamuna [emoji23][emoji23][emoji23]
GDP iko wapi [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nkt! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sa ulitaka Obama ajenge daraja kenya ndio mseme ni maendeleo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo obama amewasaidia nini,,ukisema tufuatilie chimbuko all black amerca nature yao ni africa hebu wacheni ushanba
Mjinga kweli ni mjinga. Lakini ya mtanzania ni ya kuzaliwa...kumbe you expect[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] from 4.4 to 6.3 we unafkiria ni kama unahesabu mayai[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
tunaweza kataa tena kupass kama ilivyokuwa 2012,si unajua tunaakili nyingi ili tusamehewe madeni ya nje.Sisi ni Middle class already buda kumaanisha 0ver 50% of kenyans live above poverty line! Nyinyi ni LDC! Meaning......vise- versa[emoji23] [emoji23] [emoji23] so mafuta ni added advantage kwetu or you can say an icing on the cake!
Kama 2016 tulikuwa 6.3, 2017 tukateremuka hadi 4.4, 2018 tuko 5.5 ni nini itatuzuia kufika 6.8 2020?[emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbe you expect[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] from 4.4 to 6.3 we unafkiria ni kama unahesabu mayai[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ignore hawa wasee Kabisaa.Huyu msee sijui anadhani watu huamka na kupachika buildings out of nothing ama nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]