Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why spend billions on a simple bridge when you can install state of the art cable cars...ata unajua maana ya cable cars kweli??
anhaa kumbe mulijua kujenga a bridge ni very expensive pesa hamuna ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
GDP iko wapi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Acha ujuaji...ukiwa na tsh 20000 unaitumia wiki nzima uku wala sio siku tano,unga kilo tsh 900 mchele kilo 1300 nyama 1/4kg 1500 sasa ww aliekwambia pesa haina thaman ni nani..hata maharage 1/4kg ni tsh 500 tu
 
Acha ujuaji...ukiwa na tsh 20000 unaitumia wiki nzima uku wala sio siku tano,unga kilo tsh 900 mchele kilo 1300 nyama 1/4kg 1500 sasa ww aliekwambia pesa haina thaman ni nani..hata maharage 1/4kg ni tsh 500 tu
acha wajitekenye humu,muulize hiyo elfu yao inapatikana katika mazingira gani๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œkama nauli za matatu ni 50/50???
 
usisahau kenya debt is 60% debt to GDP ratio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hebu pitia hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
IMF team to visit Kenya as red flag is raised over debt levels
The bigger the dept the batter ama hamjui[emoji23] [emoji23] [emoji23] By the time tuna anza full exportation of Oil GDP inataka kuruka hadi 150billion in five years wakati bado mko 60 billion alafu tuone Kama mtawezana[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenya always have a plan. Kwanza in real sense kenya has been functioning as a half country, most Economical and business activities happen in the souther parts of the country na hio pekee inaproduce 80billion+ GDP now for the first time we open the northern corridor and its boundaries (Ethiopia,Sudan&Somali) then tuanza kufanya biashara two times faster than before hence (80bln*2=160bln) simple mathematics & now we don't even need Tanzania i mean? We have the Largest port, the business capital of EAC(Nairobi), We produce Oil, We have a functional SGR with a huge capacity, Our country has the best road network in the region & is getting even more batter & connected, & so far we are the main pillar of trade in East & central Africa hence the most strategic nation in EAC![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] endeleeni kukimbiza upepo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
na kweli munaruka,ila maisha munayaacha chini๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
inataka kuruka lakini haijaruka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
au mabawa hayajaota bado๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
nioneshe pipeline yenu nyie inayojengwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji116]

au unafkiri sijui hzo pic umeokota google au nikuaibishe[emoji13][emoji13][emoji13][emoji115]
We jua Kenya is already exporting oil & by 2021, full exportation itaanza. Kwanza ikifika kwa story za Mafuta hamfai kuwa mkiongea ju Uganda na Kenya ndio zina produce nyinyi mnapitisha mafuta ya wenyewe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] already sahii Mafuta imeanza kufikishwa mombasa While you guys are still day dreaming na mafuta ya wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] what a pitty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ