Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂👇👇👇👇

 
😂😂😂😂👇👇👇👇

 
wakenya wameanza kudanganya ulimwengua kua BRT iko kwao😂😂😂👇👇👇

wanadhani hii ni dunia ile ya zamani😝😝
mugabe hakukosea kabisa 😅😅😅


 
ndani ya the modern stadium in east and central africa😂😂👇👇👇👇

 
wizi ni sehemu ya maisha ya wakenya😂😂
👇👇👇👇👇👇👇👇 failed state

 
[emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] wameishiwa sera
manyangau sasa tutakula nayo sahani moja, hatutayaacha yapumue, walizoea vya bure sana, tulihangaika sana kuwakomboa waafrika wenzetu wa kusini wakati wakenya wakiungana na makaburu, sasa mambo mazuri wantaka wafanye biashara kirahisirahisi tu, tunahangaika kulinda wanayama, kuotesha miti kulinda theluji ya mlima kilimanjaro wao wanawadanganya watalii kwa kusema mlima kilimanjaro, serengeti na ngorongoro vipo kwao,
 
Nairobi ina kadiriwa kuwa na jumla ya wakaazi milioni 3.5 kati ya hao milioni 2.5 wanaishi kwenye slums kubwa lao ikiwa ni KIBERA (250,000) ENDELEENI KUBISHA
 
Izo nyumba zita wa boost kiasi angalia ujio wa mzizima towers PPF towers na mnf towers zote Ni above 30flr
Izo britam na uap zinacheat hatuzikubali kama nyumba ndefu eac minara mirefu kuliko nyumba lol
Avic tunaongelea 43 floots! na 30flrs ka mbili hivi that will clearly hold your toungues before tuwape K.O (Pinnacle) alafu tuongezee misumari kwa kaburi na (88 $ Montave) tuone mtapigia nani manduru hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

That is pure propaganda infact the greatest lie told so as to benefit greedy people....aty kibera ni 2.5m people and yet Embakasi ni 901,000 according to census[emoji23] [emoji23] [emoji23] hio esabu haingiani bana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…