Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha upuzi...kwani unaibika na dream country yenyu...we uko mashambani na simu ya itel unajua dar yote kweli???
bro ww nafkiri hujui maana ya slumπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
bro ww nafkiri hujui maana ya slum[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


Ama pia hapa utasema si dar..all those dream upper middle class houses..very impressive for an ldc...mko in the same league na afganistan na liberia
 

Attachments

  • images-40.jpg
    24.2 KB · Views: 30
  • images-39.jpg
    27.1 KB · Views: 35
  • images-35.jpg
    22.4 KB · Views: 32
  • images-36.jpg
    30 KB · Views: 34
  • tapatalk_1533109522326.jpeg
    87.6 KB · Views: 34
kwenye habari ya slum hio musahau sasa tuhamie kwenye GDPπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Give us the official link si maoni ya watu.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›bro hivi kweli unataka official link kutoka wapi sasa??serikalini au wapi??kwa aibu hiyo serikali iandike data sahihi!!
 
yani hata ufanye nn haitabadilisha kibera kua the biggest and worse slum in the world[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] labda serikali ya kenya iamue kuwatoa kafara wananchi wakibera kwa kuwatupia bomu ..
Ili kitongoji kisambaratike
 
Ama pia hapa utasema si dar..all those dream upper middle class houses..very impressive for an ldc...mko in the same league na afganistan na liberia
mm nilikwambia dar hutapata nyumba ya mabati full suite never my friendπŸ˜‚πŸ˜‚
 
hawataki utalii wakati maisha kama hayo hutapata juu ya ulimwengu huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Ama pia hapa utasema si dar..all those dream upper middle class houses..very impressive for an ldc...mko in the same league na afganistan na liberia
tupe location ya hayo maeneo google map,tukajionee panaonekanaje kutoka angani.
 
4.5-2.5=2ml

2mil people ni population ya mkoa mzima kama iringa au ruvuma,hao ndio wakazi wa nairobi wenye maisha na makazi bora.hataki anataka kusema 4.25 mill people wana maisha mazuri nairobiπŸ˜€πŸ˜€
Na hata hao 2M umewapendelea kuwaweka kwenye makazi bora...maana kwa mujibu wa akili zao fupi huamini mtu anayekaa kwenye zile kota zao ndiye mwananchi anayeishi kwenye makazi bora kwa mahesabu ya haraka zile vibanda za nyayo estate sijui thika haziwezi kuhumudu watu hata laki 7...ni chache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…