Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mt Meru 4* hotel Arusha
general-view.jpg
View attachment 826966
 
Wadanganyika mpunguze Pombe Walai. ..... Ni President anawanywesha bila kuchokaa nini??? ?
 
wewe hua unajifurahisha ukiambiwa twende kwenye ukweli na uhalisia hutaki hvi kwa akili yako ya haraka haraka economy ya arusha hakuna mji unauweza nje ya nairobi na mombasa kenya nzima na kama unabisha sema twende kazi
Mombasa!!!, Kisumu??, Tanzania fungua macho., Mombasa port pekee makes 45bn in a month, more than what Dar port makes in a year!!! unataka credible source?..,
 
the definition of a city depends with where you come from ichoboy. Sasa kama Iceland population yake ni 330,000 city zao unadhani size yake si ni kama mji wa Kondoa. For all I know, Nakuru and Kisumu ni kubwa kuliko Arusha

Kisii Pia ni kubwa kuliko Arusha
 
Mombasa!!!, Kisumu??, Tanzania fungua macho., Mombasa port pekee makes 45bn in a month, more than what Dar port makes in a year!!! unataka credible source?..,
repeat again??? hebu rudia huo upuuzi nikuletee facts sasa hvi😂😂😂👆👆
leta hio fact mm nikupe fact sasa hvi
 
Back
Top Bottom