Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehehe🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
1533285677975.jpeg
 
ndio maana kenya migogoro ya ardhi haiwezi kuisha.

ardhi yangu mwenyewe ninapotaka kubadili matumizi eti sheria inatoa mwanya kwa watu au taasisi kutoa pingamizi.

tanzania hatuna ujinga kama huu unless ardhi husika iwe mgogoro wa kimahakama.
Screenshot_2018-08-03-11-30-02-039_com.instagram.android.jpg
 
Wacha kuruka stori ka chura.....sasa bus stage na commuter train station zinapatana tu....dar hamna any train station...sgr ndo mutaweza kweli....kazi ni kugoogle "nairobi bust stage 1991" then kupost tu hapa
haya nioneshe bus stage ya 2018🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Wacha kuruka stori ka chura.....sasa bus stage na commuter train station zinapatana tu....dar hamna any train station...sgr ndo mutaweza kweli....kazi ni kugoogle "nairobi bust stage 1991" then kupost tu hapa
hua munawaza makubwa wakati madogo hamuyawezi 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
nimeambiwa kuna bus stage ya nairobi ya 2018 nasubiri kuoneshwa plz😛😛😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom