Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Yanga wanacheza kwa "modern stadium" ama wako Kenya 🤔🤔🤔🤔
 
Last edited:
nilidhani iko nairobi😂😂😂😂😂
 
siku zote kubali kushindwa hata kama unaumia hakuna namna narudia tena tanzania stadium is the modern stadium in east and central africa and one of the top ten expensive stadium in africa

kwann unalia sana😂😂😂😂
 
jibu lako liko hapa😂😂😂😂
maskini ya Mungu unatia huruma sana


Top 10 Most Expensive Stadiums In Africa 2016
 
Ile Yanga yao imefanywaje?
kuna kitu hamjakijua labda kuhusu yanga,Yanga ni timu kubwa katika ukanda wa afrika mashariki na kati na ni timu yenye mashabiki wengi hadi nnje ya mipaka ya tanzania ila kwa sasa imeyumba kutokana na migogoro ya kiuongozi na hadi kufika katika hatua hii ya makundi ni kutokana na uzoefu wa michuano hii ila bila ivo haikustaili hata kufika hapa ilipofika


wakenya msidhani mnaifunga yanga ikiwa katika kiwango chake, yanga ipo katika kipindi cha mpito ni saw na manchester united ya miaka mitatu iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…