Pole, bado unalala!!! amka sasa usije pia ukaota unakojoa kwa mtaro kumbe ni malazi!..,Ile galana naskia ilisombwa na mafuriko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
As the gap keeps on increasing..,umefikiria vizuri sana,tunawatumia kama mfano siku zote.
mlianza na 6 lane roads kupunguza jam,tukaleta BRT.
mmenunua treni ya mafuta 2018,sisi tunaleta ya umeme 2019
tumepanua uwanja ili kuongeza matumizi jknia.
tumeshawaacha katika utalii.
kitu tumewaacha mfarijike nayo kwa muda ni GDP.nayo tunaipea 10 yrs.
That will never happen, nyang'au ni nyang'au!.,Kama kawangware ni slum, then Dar yote ni slum, inafanana na mtaa mingi ya Dar!
Nigeria wana subsidy ya mafuta., lakini bado wanakopa! na wana uwezo wa kukopa zaidi na zaidi, kama GDP mzima ya Tz. Pambana na hali yenyu, propaganda republic.Nigeria amekopa kidogo kuliko nyie je unataka kusema ke imezidi Nigeria?
Ur reasoning is wanting!!
Kiukweli naiona tz inaelekea mahala pazuri sana huko mbeleni huu ni wakati sahihi kwa maendeleo haya. We deserve this


Unlike you tanzanians we wish you the best...kwani you think we in the same level???blind patroitism...karibu kenya.. utadhani uko ulaya...wapi wamesema hapa au😀😀😀😀Kama kawangware ni slum, then Dar yote ni slum, inafanana na mtaa mingi ya Dar!
leo munateseka na kulia juu ya tanzania heheh mulijua bado ni ile 90s😛😛😛😛Nigeria wana subsidy ya mafuta., lakini bado wanakopa! na wana uwezo wa kukopa zaidi na zaidi, kama GDP mzima ya Tz. Pambana na hali yenyu, propaganda republic.
ukiikuta dar hapo nitagKama kawangware ni slum, then Dar yote ni slum, inafanana na mtaa mingi ya Dar!
Unaanza matusi unaexpect nikunyamazie,we fala niniwhat makes you think that i am a homo labda unataka kucome out of the closet n you hate yourself for it so much that you call other people homo
Ona mwendazimu anaanza matusi then anawashwa,Sisi watanzania huwa hatuna tabia za kijinga za kutukana watu hovyo kama nyie so please kama hamkufunzwa tabia njema huko kenya labda hapa jf tutawafundisha



Speed of light ndio speed mmejenga nayo tazara na ubungo interchange? Nyinyi hata speed of darkness hamjuikenya kuikimbiza tanzania ni kutu stupid.Tz inakimbia kwa speed of light yaani hamuwezi kujicompare na sisi hata tourism sasa tumewashinda coz tz ina total package. Mtalii hawezi kwenda maasai mara aiache serengeti,mombasa aiache Zbar, hawezi kupanda mt.kenya aiache legendary knjaro. Kenyans daddy was gone for so long but now he's back so pack your little bags and head for the exit sign lol
Kukuja lazima, we will keep coming sasa shida ni most tanzanians hamtoki kwenyu na wenye wanatoka seem to argue reasonablyHotel seaclif mje kwenye hotel za kisasa
Lakin nilisikia last yr majirani walikuja kwa wingi sana Tz kuponda raha kimyakimya wakarudi 254. ..
Msiache kuja...karibuni tenaView attachment 818371
North korea of Africa,Hahaha..finally found the perfect article..ati hadi dodoma ni slum..their capitalView attachment 818428View attachment 818429