so to have mall is something very special to you?? hehhehe aisee aliewarogaThat is in your second best "city"
this one here is in Eldoret
and this one here in NAIVASHA
ππππ Kweli hesabu si ya kila mtu, tell me how 60% is coming about ? Are you telling me GDP ya Kenya ni 37πππ. Let's do this,tulikwambia kenya debt to GDP ratio is 60%
tanzania debt to GDP ratio is 32% hehheheh
wewe umekuja juzi tu hujui huu mjadala ulianza wapi kenge weweππ
Wewe umekuwa Geza Ulole mwingine.kuendelea kwa kua na slums au???
hzi hesabu unapiga kama vile hesabu za dukani do u think economics ni kama kula bajia tuππππ Kweli hesabu si ya kila mtu, tell me how 60% is coming about ? Are you telling me GDP ya Kenya ni 37πππ. Let's do this,
1.KENYA
If 22.2b = 60%
?b = 100%
That will be (22.2b Γ100%)Γ· 60%
2220bΓ· 60
=37b
2. TANZANIA
If 15.9b = 32%
? b = 100%
(15.9b Γ100%)Γ· 32%
1590b Γ· 32
=49.6b
Ichoboy you should do your maths again, acha kusema unproven shits here. Kenya's debt % to GDP is 27% and this how it's coming about;
Kenya's GDP = 80b = 100%
Debt = 22.2 b = ? %
Calc. % debt : GDP ratio
(22.2bΓ100%) Γ· 80b
Ans.= 27.75%
So iyo 60% yako inatoka wapi? Hesabu ni shida kwako kweliππππ
ukweli hamuupendi sindioππππWewe umekuwa Geza Ulole mwingine.
Nakuru bado sana hii ni town ya kawaida sana hata moshi nzuri kulikonakuru
RESIDENTIALS
Ilala inakuja kujaa storey buildings soon,itaivuta na buguruni directlyilala area my friendsππππ
View attachment 812632 View attachment 812633 View attachment 812634
Wewe hujielewi na pia huelewi hesabu yangu coz wewe ni mjinga. Debt is 22.2b and Kenya's GDP is 80b, now tell me the %?....We ni mjinga sana.hzi hesabu unapiga kama vile hesabu za dukani do u think economics ni kama kula bajia tu
hehhehe 60% of 80 is 22.2πππ kamtafute mchawi wako
Tuusan ebu sadia huyo ndugu yako kuelewa hiyo hesabu.Ilala inakuja kujaa storey buildings soon,itaivuta na buguruni directly
Wewe hujielewi na huelewi hesabu yangu coz wewe ni mjinga. Debt is 22.2b and Kenya's GDP is 80b, now tell me the %?....We ni mjinga sana.
GDP ya $80bl ambayo ni current price haina mahusiano ya moja kwa moja na deni la $22.2bln but nachoona apo kwa akili yangu ndogo ni kwamba Ilo deni laweza lipwa taratibu kulingana na makubaliano ya kila mkopo husika...mathalani next yr mwaweza kua na GDP ya $90bln> na mkopo mkaongeza as long as mapato yanazidi kukua. ..Tuusan ebu sadia huyo ndugu yako kuelewa hiyo hesabu.
60% of debt to GDP ratio kwanza unaelewa maana yake au unaongea tu??? we unafkiri hesabu za uchumi ni sawa na hesabu za dukaniππππWewe hujielewi na pia huelewi hesabu yangu coz wewe ni mjinga. Debt is 22.2b and Kenya's GDP is 80b, now tell me the %?....We ni mjinga sana.
kweli kabisa yaani kote kule lazima kujae......Ilala inakuja kujaa storey buildings soon,itaivuta na buguruni directly
60% of debt to GDP ratio ya 80b unasema 22b hehhehehehππππ kamtafute mchawi wakoTuusan ebu sadia huyo ndugu yako kuelewa hiyo hesabu.
Tumepiga Marufuku mungiki ku-promote our tourist attractionsPamoja kuwa wanapromote ndege zao lakn bado mapato mengi yanakuja Tanzania na pia wanasaidia kupromote mbuga ya serengeti
View attachment 812500
I know English ndo shida kwako but i want you understand me very clearly. If Kenyas GDP is 80b and their debt is 22.2b, what is the ratio of debt to GDP in percentage form? Unajifanya mjuaji sana, ebu niambie answer hapo?60% of debt to GDP ratio ya 80b unasema 22b hehhehehehππππ kamtafute mchawi wako
Now convert that debt to % of GDP.GDP ya $80bl ambayo ni current price haina mahusiano ya moja kwa moja na deni la $22.2bln but nachoona apo kwa akili yangu ndogo ni kwamba Ilo deni laweza lipwa taratibu kulingana na makubaliano ya kila mkopo husika...mathalani next yr mwaweza kua na GDP ya $90bln> na mkopo mkaongeza as long as mapato yanazidi kukua. ..
Ila kama ikitokea uchumi umedorora itawaaffect kwasababu mtaogopa kuongeza deni...
Hawa walifunza esabu na Kiswahili[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe hujielewi na pia huelewi hesabu yangu coz wewe ni mjinga. Debt is 22.2b and Kenya's GDP is 80b, now tell me the %?....We ni mjinga sana.