Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We have the following cities
Dar,Mwanza, Arusha,Tanga, Mbeya ,and Dodoma but to be specific hakuna city hata moja ambayo haina vigezo ambavyo umetaja apo juu...
Mapato ,miundombinu,huduma za kijamii,elimu,afya,biashara ndio vigezo vilivyotumika bila kusahau wingi wa watu!!

Dar ndio largest city hii haina ubishi, kwanza inaserve 2nd largest ukanda upande ziwa ndio kitovu cha biashara na viwanda..Arusha 3rd largest kitovu cha utalii na viwanda...Tanga bandari,viwanda na biashara mob...Mbeya kwa nyanda za juu kusini ndio kumepevuka zaidi...hii ni kama shamba la tz mazao ya chakula hapa ndio kwao. ..

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
munatoa mapovu kisa mke wa obama hajaja kwenu nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Najua hii picha imekuuma![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hautalala leo...mind you wakenya sio watu wa kujionyesha..infact we only Show you guyz 45% of Nairobi bado hamjui metro inakaa aje but keep on struggling mtafika tu. Mkiendelea hivi naona by 2030 mtakua Level yetu ya 2013[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii picha inakuuma sana ichogirl[emoji23] [emoji23]
 
ukhekhe nairobi kwa dar ni ushuzi mtupu unatudanganya kua tumeona nairobi 45% hehehhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimecheka sana mm niliwapa simple logic ili mufikie density ya dar chukua nairobi+ msa+ kisumu-+ kampala+ kigali kidogo mutaanza kuinusa dar hehehheπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Arusha hiyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...Kwanza CBD
 
Nairobi nayo haina competitor East Africa... tusidanganyane
Ichogirl Ameumwa sana na hii video..he thinks Nairobi is just kibera but little did he know[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa ako na stress niaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu ndio ujue ako na stress Ninja nikupost tu ma News za kenya na Biaratti[emoji23] [emoji23] [emoji23] I mean kweli Kumuelewesha Chizi Utajipa kazi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ichogirl Ameumwa sana na hii video..he thinks Nairobi is just kibera but little did he know[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa ako na stress niaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
696 km sq mbele ya 1590 km sqπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mutasota sana jitahidini tu mutafika
 

eti ehh,kwani metro iko kwa cave ndio ile tunel inaingia hukoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
maskini 9 rhinos wanakufa kwenye mikono ya watu wazembe na wajinga 😱😱😱😱

 
Kwanza wewe umeishiwa na mapichaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...You have posted these old buildings here for almost hundred times.
ukhakha acha hasira arusha ww huiwezi hata kwa ukucha na tukiingia kwenye hotels utakimbia humu usifkiri hii ni ile tz ya 90s forget about thatπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…