Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afadhali kuliko hiyo Kabul yenu mnaita Ati jiji...... Surely you Danganyikans. Kazi yenu ni kuzaana tu na kujazana Darislum
ukhaukaha leo umedhihirisha hasira zako πŸ˜€πŸ˜€
 
below poverty line hio nimekupa
go on dremaingπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hio CCM unayoichukia ww ndio wachina wanaiheshimu kwa heshma zote, chuki zitakuuwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
wenye hasira na CCMπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
hio CCM unayoichukia ww ndio wachina wanaiheshimu kwa heshma zote, chuki zitakuuwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

China is after their own interests, haijali ni nani anatawala, they have a 'non-interference' policy on matters internal politics.
I don't hate CCM per se, wako na mazuri and African pride, kulingana na historia, shida ni wale walio katika serikali kwa sasa wanakandamiza raiya na kunyamazisha divergent views. That has a negative impact on development in a long-term basis.
 
wameanza kilio sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani obama kukaa tanzania siku 8 akitalii imewauma sana wakat kenya anakaa siku 2 hehheeh wameanza kutoa mapovu sasaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› hawataki hata kusema alikaa tanzania
 
uhahahha kasome history of ccm and china ndio utajua nazungumza nn πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ CCM itadumu mpaka yesu ashuke utake usitake nyie pambaneni na kenyatta alieshika robo ya ardhi yote kenya nzima akisema ni yake
 
uhahahha kasome history of ccm and china ndio utajua nazungumza nn πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ CCM itaduku mpaka yesu ashuke utake usitake nyie pambaneni na kenyatta alieshika robo ya ardhi yote kenya nzima akisema ni yake
Haijalishi, ni raiya wataamua.
 
ni balaa sana hawa manyang'au
 
amua ww mkenya hehehe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
acheni kenyatta aitawale kenya na mutabaki vinana hamuna ajira wala ndoto ya kua na ardhi mpaka yesu ashuke

View attachment 810578
Ndio maana nakueleza wacha kuamini porojo. In Kenya the tribe yenye wamesambaa Kenya yote kwa ajili hawana mashamba kwao ni wakikuyu., akifa anazikwa kwa municipal cemetery ya mji anakoishi. This is the reason wako industrious na wakakamavu kwa biashara kwa sababu anajua nyumbani hana chake, lazima atie bidii kufa kupona, hii ndio sababu yq wao kujituma ni kama wasomali wa Kenya, North eastern ni desert, na walitengwa na serikali kwa muda mrefu, but wenye wamesambaa katika miji mbali mbali wako poa biashara, wanajituma kinyama! necessity is the mother of invention. Na pia kuna other few squatters. All other tribes have ancestral land, watu huenda mjini kutafuta, wengine wanaishi kwa slums in order to save and develop nyumbani., Not all slum dwellers are poor, haujaelewa Kenya kabisa!, what you have is internet news, which you quote out of context and without understanding. Hakuna mjaluo wa Kibera hana kwao nyumbani. Wakikuyu tu na watu wachache wa pwani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Another Idi amin in the making..soon hata kutema mate itakuwa hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…