Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha.... Wanadhani sisi tunapatiana city status hata kwa villages vile wanavyofanya. I asked one of them to show me a city skyline of Mbeya siku hizi namwona anahepahepa tuu
Ingekuwa Naks, Eldy, Kericho, Kisii na Busia iko uko wangeshapewa city statusπŸ˜€πŸ˜€
 
Changing face of Kibera slum.

Kibera facelift is real. Don't mind these trolls in here.

*Peep that road reserve? Yeah! *
 
aaaahh arusha kama Washington DC,kisumu??you can't be serious..city ambayo usafiri ni baiskeli?zunguka tz nzima hukuti mji unaotumia usafiri wa mji,baiskeli!!sana sana utawaona watz wa njombe wanaendea mashambani..
Heheee.... Hata Amsterdam wakaazi wanatumia baiskeli as a means of transport, Beijing, and so many large cities around the world.
 
Heheee.... Hata Amsterdam wakaazi wanatumia baiskeli as a means of transport, Beijing, and so many large cities around the world.
baiskeli itself ni means of transport we all know,lakini sio itumike kwa city kama usafiri wa kusafirishia passengers!!passengers??? aaaah hamko makini wakenya..
 
MEGA CITY MALL
LAKE BASIN MALL
UNITED MALL
MEGA PLAZA MALL
TUFFOAM MALL....

LOL....hiyo hata arusha ifanye collabo na mwanza haiwezani na kisumu......
mega city ile ni go downs tu hehehπŸ˜€πŸ˜€
united ni kama duka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…