Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha uongo buda ww ni beta kuliko uongo
 
5000 chinnese wamepewa ajira na security 24hrs heheh wakat unemployment rate in kenya is 40%


dah inaskitisha sana 😱😱😱😱
 
hahahaha.... hawajui kwamba katika kila county tumeweka watu wetu wa kutupatia information.
hahahhaha yani analazmisha taxi baiskeli zisiwepo wakat zimejaa kama njuguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›
 
Brother hio ni industrial area ama ni kiwanda kimoja unaonyesha? Sasa industrial area gani iko na kiwanda kimoja
The wrong thing with you is that you are looking at what is close to you...The whole that picture is undustries, look at it once again.
 
Hakuna kitu hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kisumu ni nzur lakin haijaweza Arusha Kwani wewe siumeona mwenyewe! !
Tena ungeingia kwenye league ya starehe na sehemu za kupoa kuponda pesa kama hotels lodge na clubs ungelia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…