Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuliza munkari utalia bure [emoji23] [emoji23]
 
hii in 5 years kisumu pekee itaitosha
Kisumu itashindana na east Upanga pekee?In next 5 yrs[emoji23] [emoji23] kwahyo hadi sasa bado haijafikia ata apo?mnaita kisumu city?ungenyamaza ufiche aibu
 
Rais Magufuli: Wafungwa wanapata muda wa kuvuta bangi na kujamiiana kwa sababu hawafanyi kazi
 
yani kinachokuumiza ww ni kwann tanzania inajenga modern electric train in africa kwa kutumia pesa zake za ndaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na mpaka sasa imeshalipia phase mbili 700km cash no debt heheheh
 
I told you lack of exposure inakusumbua. Also hujui kusoma takwimu kijana. Nenda shule. JF imejaa wasomi. Acheni kudanganyana huko kenya. Kila mwaka wakenya wanakufa na njaa.
Halafu tafuta takwimu kutoka IMF angalia population under poverty line. Kenya inatisha. Kesho nitazitoa takwimu sahihi hapa. Usikimbie maana sisi tunaenda kwa facts.
 
huyo chizi hajielewi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…