Nilienda Tarangire sikuamini nilichokuwa nakiona,watalii wanamiminika kama nyuki,na nadhani kuna kipindi wale jamaa huwa wanaelemewa..pamoja na VAT lakin wanazidi kuongezeka majirani walitoa VAT lakin bado tu ππππ
hata serengeti na ngorongoro hua kunazidiwa na sasa hvi obama na familia yake wako serengeti singita watkuwepo kwa wiki mojaNilienda Tarangire sikuamini nilichokuwa nakiona,watalii wanamiminika kama nyuki,nadhani kuna kipindi wale jamaa wanelemewa..
Golmahia kwaheri ........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 807390
ndiyo wajijue sasa kama huwa tunapambania ushindani wenye biashara pesa nasiushindani wakipuuzi kama sportpesa[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 807390
aaaahhh dar tamu aisee..!!!hawa ndo wanataka kufananisha na ujinga uitwao Nairobi??
Yaani stesheni iliyojengwa 23/04/1970 inapambana sambamba kabisa na ile ya 2018??
Dar es sluum
Hasira za nini kaka?Yaani stesheni iliyojengwa 23/04/1970 inapambana sambamba kabisa na ile ya 2018??
wasubiri hii ya modern electric train in africa alaf wapambane nayo sasaπππYaani stesheni iliyojengwa 23/04/1970 inapambana sambamba kabisa na ile ya 2018??
Hyo electric train yenyu itakamilika in 2022...by that time Nairobi utakuwa unamezea kwa mbaliwasubiri hii ya modern electric train in africa alaf wapambane nayo sasaπππ
2019 phase 1Hyo electric train yenyu itakamilika in 2022...by that time Nairobi utakuwa unamezea kwa mbali
umeuliza swali lenye logic sana... subiri povu toka kwa wakenya.Yaani stesheni iliyojengwa 23/04/1970 inapambana sambamba kabisa na ile ya 2018??
Juu ya cecafa cup?Hii siku imekuwa mbaya sana kwa Wakei
povu linakumiminika boss...Juu ya cecafa cup?
mashindano ya peni nane...ilhali football ranking mko no.140!!!!
zero talent republic
sikutegemea kuona sabuni ukizisaga mdomon kwakoππππππJuu ya cecafa cup?
mashindano ya peni nane...ilhali football ranking mko no.140!!!!
zero talent republic
Stations za sgr ya Kenya hazipatikani mahali popote Afrika nzima. Hata South Africa hawatuwezi kwa hili. Ongeeni mbaya kuhusu train lakini sio stations.umeuliza swali lenye logic sana... subiri povu toka kwa wakenya.
Wacha utoto kwani gor Kushindw na axam ni big deal aje kwwnyu hadi mnakesha huku?πππππππ