Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sio only phase one na phase two ni internal source hawa watalia kilio cha mbwa kokoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
"Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo..."

MBUNGE WA TANZANIA.

MBUNGE!
 
Yani ulete habari za 2016 za Tz alafu za Kenya za 2018 sasa unawezaje fanya comparison apo?
Hizo miaka mbili mumefanya nini? Mumeongeza what capacity? Ata nikiwaekea eti mliongeza capacity ya 500MW bado umeme wenu KIASI sana.

TUUSAN tangia 2016 mumeongeza capacity gani??
 
endelea kujipa moyo heheh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
jamaa katoa cash 3.16b for phase one and two 700km
modern electric train in africa
 
Hizo miaka mbili mumefanya nini? Mumeongeza what capacity? Ata nikiwaekea eti mliongeza capacity ya 500MW bado umeme wenu KIASI sana.

TUUSAN tangia 2016 mumeongeza capacity gani??
Kuna capacity iliongezeka kinyerezi II 240MW
Total installed energy is 1500MW For now...
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€wewe umekomaa kabisa kiakili unazungumzia habari za 2030 leo kweli!!

acha tz iwasumbue vichwa,hiyo ni mkakati wa 2022 hapa tz,si una taarifa uranium tuko nayo cubic kadhaa ama hujuiπŸ˜€πŸ˜€,unapiga makelele tu.
Tumieni hizi madini mlio nazo nanyi pia mjiendeleze.

Yaani Kenya hakuna madini kama vile zilivyo TZ lakini bado we are almost doubling your GDP.

HIZI MADINI ZINASAIDIA AJE mTZ WA KAWAIDA?
 
it was before walipokataa kutoa soft loan tukaachana nao tukajenga kwa pesa yetu phase mbili kumbuka ni modern electric train africa hio usisahauπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
The article nimekupea hapo juu ni ya April 2018, it's only phase one mmefund solo but the remaining phases you have been helped.
 
huyo anapata tabu sana anahangaika sana yani tanzania inamnyima usingiziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Very FAR FROM THE TRUTH.

Nilikuambia hapa nimekuja kuwaelimisha! Kuwapatia REALITY CHECK. Kuwakumbusha kua bado hamjaendelea jinsi mnavyofikiria. Kuwakumbusha Kuwa nyinyi bado LDC

Huku FREE COMEDY tuu
 
Hizo miaka mbili mumefanya nini? Mumeongeza what capacity? Ata nikiwaekea eti mliongeza capacity ya 500MW bado umeme wenu KIASI sana.

TUUSAN tangia 2016 mumeongeza capacity gani??
gari moshi mchina anazidi kuwamalizaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
safari hii mumeingia choo cha kikeπŸ˜›πŸ˜›
deni mchina, gari moshi mchina

Afadhali sisi tunayo. Nyinyi HAMNA
tunajenga the modern electric train in africa hehehe hua tunaangalia wapi mlipokosea nyie sisi tunarekesbisha hapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
tunajenga the modern electric train in africa hehehe hua tunaangalia wapi mlipokosea nyie sisi tunarekesbisha hapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Endeleeni kujenga, ikiwa functional mniambie. Mna nini cha maana cha kuvunia isipokuwa Kilimanjaro?
 
Endeleeni kujenga, ikiwa functional mniambie. Mna nini cha maana cha kuvunia isipokuwa Kilimanjaro?
2019 phase one baby na hii thread haitakufa mpaka tuhakikishe mumeonaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…