Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mm namwambia Dar CBD ni kubwa kusanya cbd yenu kusanya upper hill kusanya na westland kwa pamoja ndio mutaeza kufkia dar cbdπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yani upperhill uite new cbd wewe uko sawa kweli??

Koma kunywa chang'aa.
 
Ahead of educationπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. One thing have realised is that large percentage of you are not educated and you are not exceptionπŸ˜€πŸ˜€.
Elimu gani iyo reli wanajenga Chinese nyumba kubwa zote wanajenga wachina nyie mnaelemu ya kupiga kelele uku jf na wizi
 
Mimi mhandisi hatari sana. Hatari yaani DANGER! [emoji88]

mimi mkinipa nafasi ya kuTransform Dar nitaiweza na kuwasaidia sana. mKenya mtu hatari sana
Why dont you start with Kibera and the likes?!!!
 
nyang'au wanasemaje?
TUNAFUNGA HUU MJADALA ONCE AND FOR ALL! Hakuna jinsi mtaweza shindana na sisi!

I'm sorry, but this will always be the norm. You will always be behind Kenya, unless major transformations are made in your country!

Don't be jealous of your neighbors success. Instead, pull up your socks and try to make your own situation better!

The potential is there. But I'm sorry with this kind of thinking and reasoning, this will never be the case!

Tanzanians of good will. BELIEVE and it shall happen!
 
TUNAFUNGA HUU MJADALA ONCE AND FOR ALL! Hakuna jinsi mtaweza shindana na sisi!

inaonekana huna bundle la kutosha kwa simu yako ndio maana unatangaza kukimbia battle.

sisi hatutoacha ku battle na wakenya, tuta battle na nyinyi mpaka yesu anarudi.
 
inaonekana huna bundle la kutosha kwa simu yako ndio maana unatangaza kukimbia battle.

sisi hatutoacha ku battle na wakenya, tuta battle na nyinyi mpaka yesu anarudi.


sio mchezo kula nyama ya paka kila siku lazima uwe chizi
 
Hivi kwanini picha ya uwanja wa ndege Nairobi huwa mnaukata kipisi
kaeneo kadogo tu hamuonyeshi jengo zima
Tunawapa a taste of JKIA.

The full package, tunawachia wale ambao watapitia JKIA wajibambe. Just a taste!

Remember, too much of something is poisonous!
 
growing economy of 7.2 alaf unajiuliza nani atatka kufanya biashara tanzania we mzima kweli???

tatizo lenu nyinyi leo hii munashindwa kukubali kwa munachokiona hehheheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hawa jamaa weupe sana, walishindwa kuwa kiranja wa EAC kiuchumi na kijamii miaka ya 1960, 70, 80, 90 wakati tukiwa busy kuyakomboa mataifa ya kusini mwa bara la afrika sasa ni ndoto. kuna kipindi nchi ya TANZANIA ilikuwa uwanja wa vita kwa wareno, waingereza, makaburu, amini etc lakini bado tuliweza tulipofika, sasa hakuna kurudi nyuma ukombozi ulishaisha, WATAENDELEA KUISOMA NAMBA
 
inaonekana huna bundle la kutosha kwa simu yako ndio maana unatangaza kukimbia battle.

sisi hatutoacha ku battle na wakenya, tuta battle na nyinyi mpaka yesu anarudi.
ALAS!!! TANZANIANS YOUR FATE IS SEALED!!

Ndoto zenu nzuri sana!
 
Elimu gani iyo reli wanajenga Chinese nyumba kubwa zote wanajenga wachina nyie mnaelemu ya kupiga kelele uku jf na wizi
First you have to understand terms and conditions of money lending contract between/ among nations. The construction are part of contract between Kenya and China. China only agreed to lend Kenya with a condition of letting China contractors to build the railway just the same way your railway is being build by Turkish company (Yapi Merkez Insaat Ve Sanayi) and South Africa company( Mota-Engil Enganharie). This is because you borrowed money for construction from Turkey and South Africa.
 
ACCEPTANCE huanza hivi.

NOW, pull up your socks and stop sleeping!

Aspire to be a model of Kenya!
Nyinyi naskia hamna ukabila (sijui kama ni kweli). Ila bila Huu ukabila mmefanya nini ya maana? Mmeendelea ama bado mko LDC?

NINI haswa kinaendelea bongolalaland?
 
KITAELEWEKA!!

ADMIN!? Uko wapi? Huu mjadala umefika maoni laki moja na! Nafikiria NBO imejitambulisha na kujiuza. Nafikiria pia umefika wakati waTZ wakubali Hali yao na wajikakamue. UMEFIKA wakati wa kufunga huu mjadala

MOTO umekua moto sana inabidi uzimwe!! [emoji88][emoji88]
 
Ahead in education πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. One thing have realised is that large percentage of you are not educated and you are not exceptionπŸ˜€πŸ˜€.
EDUCATION ALAF MUNAKULA NYAMA YA PAKAπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unajua tatiz sio kingereza tatizo ni point zako unazotoa..mnaposema mnaelimu bora nilitegemea muweze kusimamia miradi mikubwa wenyewe you can just lend money from them and do all the project on ur own,most importantly is the adherence of loans terms & conditions !! Sasa kwa elimu iyo iyo ndio mnaishia kua day workers na kazi kubwa zinazohitaji ujuzi wanakula wageni zile za jua kali ndio wanapewa akina Kajamba nani
 
Engineer wa koroboi acha kelele
 

Now this the education I'm talking about, the education of know-how. Do you know how, do you know why and do you know when.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…