Fanya tafitiSijifurahishi mimi. Already mimi kawaida mcheshi na mwenye furaha
Nafungua bongolala macho. Mbona usinijibu? Ni swali tu nimeuliza.. After all ni kujadiliana
What are the occupancy rates of these towers?? Are they empty? Or half empty?
Na ndio mitaa bora apo Nbo since day 1 mmeanza post picha hapa +old CBDKilimani na Upperhill yamepakana yani ukitoka Upperhill unaingia Kilimani. Next question?
Nikianza kukutajia mitaa ya NBO nzuri sana kuliko the averagely best mtaa ya Dar tutachoka sana.Na ndio mitaa bora apo Nbo since day 1 mmeanza post picha hapa +old CBD
WaKenya watu wa ku mind their own business. Huu utafiti utamsaidiaje mKenya? WaKenya ni critical thinkersFanya tafiti
Unadhan nawaza runda au muthaiga?and Karen nope iyo kwangu sio mitaa bora 7bu ni nyumba Za wadosi tu hamna zaidi sana sana...nimekwambia Upper hill 7bu no town kuna vitu vya kimjini mjini ni sawa na uwe Apa Bongo mitaa ya Mbezi beach ukisema unaenda Mjini ofcz ni unaenda Posts,Upanga au KkooNikianza kukutajia mitaa ya NBO nzuri sana kuliko the averagely best mtaa ya Dar tutachoka sana.
Utapiga magoti
You wish?WaKenya watu wa ku mind their own business. Huu utafiti utamsaidiaje mKenya? WaKenya ni critical thinkers
Mtafute mrundi umtambie hayo...Nikianza kukutajia mitaa ya NBO nzuri sana kuliko the averagely best mtaa ya Dar tutachoka sana.
Utapiga magoti
ulitaka kusema nairobi ziko CBD ngap???😀😀*mtafute mrudi mtuambie hayo*
NBO apart from town CBD kunazo sehemu ambazo ziko considered to be 'CBD' on their own kama NNE boss! Nyinyi CBD ni moja
What business!? Acha kujidanganya bratha... 90% of your buildings are government owned.... Sasa what businesses are in Dar surely? Government yenyu inawafunika macho Kama kondoo na mnafwata tu.... Then you want to compare Nairobi with dar.... Akili zenyu ni timamu kweli nyinyi!?Unajua kujifrahisha sana...nazitajengwa hadi upate ufahamu...Dar kuna Nyumba nyingi sana watu wamefunguka na bizz vyakutosha...Endelea kuomba usiku jua liwake
Punguani ndio maana nikaweka CBD in quotations. Hizo sehemu ni hatariulitaka kusema nairobi ziko CBD ngap???😀😀
kabla hujanijibu hakikisha unajua maana ya CBD
This is a list of countries with less unemployment rate 2018 but there is Tanzania with the their 2.7% unemployment rate . According to your argument you could have been ranked 2nd after Czech Republic. View attachment 803579 View attachment 803580 View attachment 803581
We imefika nai kweli!? Skia mwengine aty kilimani iko Upperhill... Hizo Buildings hunekana kutoka mbali in any direction far from even Nairobi you can see them from as far as Uthiru, Limuru na pia ngong [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] we Unadhani terrain ya Nairobi ni same na ya dar... Dar ni flat... Nai ni milima bana...kilimani and upper hill maana majengo ya upper hil yanaonekana aisee nairobi ndogo sana😀😀😛
Kwahyo kwa akili yako ndogo ya class 4 serikal ndio inafanya biashara? ,izo nyumba Za mashirika ni vitega uchumi tenants ni private companies na watu binafsi so sioni 7bu ya msingi ya wewe kusema hayo n fyi majengo mengi ni watu binafsi hayo unayoyaona Ni kwa vile ndio marefu zaidi Ila even dar real estate is worth more than Nbo by farWhat business!? Acha kujidanganya bratha... 90% of your buildings are government owned.... Sasa what businesses are in Dar surely? Government yenyu inawafunika macho Kama kondoo na mnafwata tu.... Then you want to compare Nairobi with dar.... Akili zenyu ni timamu kweli nyinyi!?
Sema hamna pesa ya kujenga how do you expect a 48. GDP economy to manage this!! Kwa barabara mko nyumaaa sana bana... I even wonder how you guys are going to manage to build a railway... Mnashindana na dovu ku kunia na nyinyi ni panya[emoji23] [emoji23] [emoji23]tunajenga flyover panapobidi kujengwa hatuwez poteza pesa kupanga matofali alaf kusema flyover
Kenya mpaka sasa hivi mafuta mliyo uza ni ya kupaka tu!Wameuza mafuta miaka ngapi??
Sisi tumeanza juzi. Nafikiri umeona mtindo.
Kenya pia hatutatambua njaa tukishauza mafuta. Fikiria mbele, ndugu!
And at to what Value is your employment?? Heri ningoje kuajiriwa kenya miaka tano kuliko kuajiriwa tanzagiza where civilization is zero... To some extend Hustler kenya ako na pesa kuliko mfanyikazi wa Tz...alaf unemployment rate is over 40% with 47m people wakat tanzaniani 2.7 % with 53.4 kuna faida gani kwa wakenya?????
Bana! Ebu cheki statistics.Sema hamna pesa ya kujenga how do you expect a 48. GDP economy to manage this!! Kwa barabara mko nyumaaa sana bana... I even wonder how you guys are going to manage to build a railway... Mnashindana na dovu ku kunia na nyinyi ni panya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
WaKenya watu wa mwendo wao. Aste Aste tuu. Hii mafuta inaweza nunua nchi yenu. Tahadhari.Kenya mpaka sasa hivi mafuta mliyo uza ni ya kupaka tu!