Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kina Japan, America, China, Germany wako na debt to GDP ratio ya more than 100 % wengine ata 200%

Kenya ni 60% ..what's your point?
america japan germany wao tunawaita developed countries hawazungumzii habari ya dawa hospitalini au habari ya maji πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

kenya na africa tunaita developing countries usichanganye oil na majiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
karibu sana mkenya unaelazmisha kua mtanzaniaπŸ˜€
 
usiiweke Kenya pamoja na Africa.. Kenya linganisha na Egypt, South Africa, Nigeria na Mauritius buda.

Regardless, debt to GDP yetu iko very sustainable na tukitaka tunaweza kuiongeza ifike Hadi 75%. Why? Juu tuko na uwezo, juu tunaweza na juu tutaweza kuimudu.

Nyie hata Sidhani mnaezapitisha 25%
 
Speed : 120kph (cargo services) 100kph (passenger trains)

Comfort : very comfortable
Accidents: non at all

Tunafurahi
umejaza funza kichwaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani cargo ikimbie 120 na abiria 100 who told you??

passenger 120
freight 80km per hrπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
kwa vile egypt na nigeria ziko europe??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
is kenya developed country?? hahahhahah

mchawi mpe mwanao amleeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

muko na uwezo wa corruption, wizi , ukabila , police killing na kukopa loan za ovyo
 
sio tukianza tushaanza na tunajenga phase mbili kwa pamoja without any loan my friendπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nyie munajenga 90km to naivasha
so 450+ 90 = 540km

tanzania inajenga 700km kwa mpigo hehehe
 
Umeshaanza uongo
 
umejaza funza kichwaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani cargo ikimbie 120 na abiria 100 who told you??

passenger 120
freight 80km per hrπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

View attachment 801459
Sasawa mkuu.. Ata hiyo 80kph unayosisitiza japokua ni uongo nitaikubali kwani bado ni kasi sana kwa treni ambazo tulikua tumezoea 30-40kph
 
sio tukianza tushaanza na tunajenga phase mbili kwa pamoja without any loan my friendπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nyie munajenga 90km to naivasha
so 450+ 90 = 540km

tanzania inajenga 700km kwa mpigo hehehe
Buda SGR Itafika hadi KIGALI sasa sijui hiyo 700km yako tutaiweka wapi
 
sio tukianza tushaanza na tunajenga phase mbili kwa pamoja without any loan my friendπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nyie munajenga 90km to naivasha
so 450+ 90 = 540km

tanzania inajenga 700km kwa mpigo hehehe
Ngeli ya waTZ ni 'tuta' 'tuna' ya Wakenya ni 'tume' ndugu
 
Hizo ni shida zetu. Na bado tukiwa na hizi mashida bado tuko better kuwaliko.

Swali ni jee.. Tukipambana na mashida zetu tutakuaje? Si mtaona Kenya ni kama England ya Africa na Nairobi kama LONDON? [emoji23][emoji23]

Mjimudu tafadhali
 
For the record sina ubaya wowote na TZ. Nyinyi ni majirani na tunafurahia kuona nyinyi pia mkikua. Ila nyinyi wenyewe mnadhani hii ni competition bana. Yes, mnakua lakini kujilimbikiza masifa na kuongelea mabaya kuhusu Kenya kila saa linasikitisha. Mkubali hadhi yenu na mjikakamue na tusonge mbele pamoja. Hii maneno si vita. Hamtakua kwa kukanyaga Kenya.. Sisi ni majirani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…