Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa watanzania ni watu wasio na haraka ....forever[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndugu itabidi mbadili mienendo kwa sababu bila haraka Sidhani mtawai kuifikia NAIROBI au KENYA
 
Ndugu itabidi mbadili mienendo kwa sababu bila haraka Sidhani mtawai kuifikia NAIROBI au KENYA
kufikia dar nyie itawachukua 30yrs yani mujitahidi sana tena sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nioneshe sehemu ambayo ww una claim ni dar haha wewe usikimbie mjadala kama unayo sehem unayosema ni dar onesha hapa kama huna basi okota picha google kama mwenzio na useme darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapa dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜³πŸ˜³
 
kufikia dar nyie itawachukua 30yrs yani mujitahidi sana tena sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naomba mungu tusiwai fika hapa juu kenya itakuwa failed state aada miaka 60 ya uhuru na amani yaaani hi ndio dar afadhali Mogadishu kunaeleweka kuna vita lakini daaarπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€b
 
jamaa hajielewi anafikiri watu wamelala au wanafanya haraka for nothing....
hehhe mchina kawachakaza kweli kweli kawaletea train zimetumiaka 50yrs ago πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ alaf leo wanajisifu
 
haya nioneshe hizo picha pamoja na umbali wa camera nioneshe kuna tatizo gani??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

na ukitaka nikuoneshe slums sema tu utaziona
Kumbe umekubali si ulikua umekataa hapa dar ati ni mogadieπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kumbe umekubali si ulikua umekataa hapa dar ati ni mogadieπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
endelea kupost zile picha zako za uongo na kusema dar mbona huzipost tena πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unaogopa aibu
 
hehehe binaadamu anaishi hapa nairobi alaf wanataka shindana na dar.
 
haya nioneshe hizo picha pamoja na umbali wa camera nioneshe kuna tatizo gani??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

na ukitaka nikuoneshe slums sema tu utaziona
Umbali wa camera.. Ooh slums.. Ooh sijui nini. Umethibitisha hapo ni Dar.

Slums tunazo na kusema ukweli lazima kutakua na wale watu wa mapato ya chini. So mkileta picha za slums hazitudhuru kwa sababu tumekubali kuna watu wa mapato ya chini.

What's more, hizo slums Zinakua rehabilitated so in 10 years time tutalinganisha hizi picha za slums saizi na then
 
Yaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Makazi yasiopimwa mfano apo kijitonyama hakuna shida ila kuna mwananyamala imeungana na manzese nenda kigogo hadi mburahat watu walijenga bila mipango miji na ni sehemu za zaman so Ukitaka pata view ya tofaut maeneo ni Mengi tu Mbali na posh estates mlizozizoea
 
jamaa hajielewi anafikiri watu wamelala au wanafanya haraka for nothing....
Lazima ungesingizia tu. Najielewa tena vizuri sana, ndugu.

Ukitaka kujua haraka ninayo ongelea.. For free, I will tell you to refer to the back pages
 
hehehe wacha turudi kwenye facts kumbe akili yako ulijua hzo ni slum hehehheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na hapo ndio nilikua nakusubiri kwa hamu uguse kwenye slum ujionee raha ilioje karib sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…