Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Somalia inawashinda sasa na mnacook growth ya 7.2%.....Now I know when they say, There is a meaning in a name. Yani Presidaa ni Pombe and you all get drunk
ukahukakha magufuli kiboko ya kenyaπŸ˜€πŸ˜€
hamulali mkimtaja πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
tanzani go baby hehhehehe
 
I don't stoop too low my friend. We are Middle and you are the least developed. Mko na kina Niger, Somalia, Haiti na kadhalika.
uhehehe mwanaume mzima unamaneno ya kanga bana haifai mwanaume vitendo kama unajiamini jaribu alaf uone we chagua mkoa wowote tanzania alaf nitakuonesha
 
uhehehe mwanaume mzima unamaneno ya kanga bana haifai mwanaume vitendo kama unajiamini jaribu alaf uone we chagua mkoa wowote tanzania alaf nitakuonesha

Leta Link... Uone kama hamtoshani na Haiti
 
Tanzania bado iko
kama unajiamini leta huo utumbo wako nikuoneshe heheheh mulijua tanzania ni ile ya 90sπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
we try and seeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› we ni mwanaume jaribu sasa
60s ata sio 90s
 
Kama Somalia inawashinda sasa na mnacook growth ya 7.2%.....Now I know when they say, There is a meaning in a name. Yani Presidaa ni Pombe and you all get drunk
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kweli kabisa yaani hakuna analolijua
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tena yuko naked

wanaitwa jamaa wa chips dume.

View attachment 799894
dah mate yamenitoka aisee mambo ya casava.....ukimix na chill ni noma sana pembeni samaki mkubwa wakukaangwa bila kusahau chai ya maziwa....yaani hapo ni poa sana ni normal good life ya mitaa ya wananchi wskipato cha chini....

nimeipenda sana hiyo[emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
hii ndio nanyuki ipambane na musomaπŸ˜€πŸ˜€
ehh Mungu nipe umri nione mengiπŸ˜›πŸ˜›

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…