Haha now ur talking..Money z all we needSii uoga babaa. Traveling to another country is not just a thing one does whenever they wish. It requires money and a tangible reason. You also wish to travel to New York (which I doubt you have), does it mean it's you're also scared to cross the border?
ukheheheh uchumi umeshikwa na investors mumekiwa bellow poverty line 45%😀😀😀😀wrong, For as long as I have been here... Your growth rate has been extronomical but on the ground you remain rooted to the poorest countries of the world.... Hiyo ukinipatia explanation tosha... Nitakununulia chips mayai wakati wa Krismasi....
80b ya kwenye makaratasi😀😀😀😀5percent of $80bn
7percent of $56bn
Fanya iyo hesabu kidogo alafu uje na majigambo yako
growth of what munakaa kupika data na kidanganya ulimwengu wakat munahali mbaya kimaskini na chakula kinasimbua nchi kila mwaka alaf muna hali nzuri gani?????😀😀😀😀So akina Ichoboy wakifanya hiyo calculation poa watapa growth ya Kenya bado iko juu kuwaliko. They are blinded by the percentage not knowing what is behind it. Does they know that 7.2% is same as 0.072?
[emoji2] muulize kwanza hiyo nyumba inapangishwa shingapi???yaani hela ya kenya ina thamani wakati huo haina nguvu.Hizi ata Moshi ziko leta nyumba ya maana acha utani
ukiona mtu anavuka border kwenda nchi nyingine ujue nchini kwao ni hali tete au he/she is looking for something ambacho nchini kwao hakipatikani mf huduma bora za afya,urahisi wa maisha,bidhaa fulani fulani,au kujifunza!!..huku tunawadaka waethiopia,warundi n.k. daily makundi kwa makundi wakiwa dhoofuSii uoga babaa. Traveling to another country is not just a thing one does whenever they wish. It requires money and a tangible reason. You also wish to travel to New York (which I doubt you have), does it mean it's you're also scared to cross the border?
Naona venye ziko mingi moshiView attachment 799667 View attachment 799668 View attachment 799667 View attachment 799668 🙄🙄🙄
Moshi inaheshima yake View attachment 799748Naona venye ziko mingi moshiView attachment 799667 View attachment 799668 View attachment 799667 View attachment 799668 🙄🙄🙄
kwa mfano ukitaka kumuelewesha mtu wa SA kwamba kenya Imeizidi tz kwa GDP ya $26bn.7.2percent ya makaratasi pia
nyumba zenyewe ni tourism houses....halafu wanazileta hapa[emoji2] muulize kwanza hiyo nyumba inapangishwa shingapi???yaani hela ya kenya ina thamani wakati huo haina nguvu.
mimi nimeshangaa wanapangishwa nyumba kama hii hadi kwa 16ml za kitanzania.sasa unabaki kuwaza how/why!!!???
umesahau nawakenya piaukiona mtu anavuka border kwenda nchi nyingine ujue nchini kwao ni hali tete au he/she is looking for something ambacho nchini kwao hakipatikani mf huduma bora za afya,urahisi wa maisha,bidhaa fulani fulani,au kujifunza!!..huku tunawadaka waethiopia,warundi n.k. daily makundi kwa makundi wakiwa dhoofu
Izi ziko kila kona kenya yote hadi town ndogo kama tigoni na nanyuki ambazo ni vijiji kwa kenya,baadhi ya picha hapa utasema ni nairobi lakini kenya iko ivi
Moshe town tunapostiwa nyumba moja moja tu.....hiyo nyeri town imefunika sawasawa..........
haujielewi..........elewa unachoelezwa.......wacha tabia zakina Jacklinr