5percent of $80bn4.4% growing economy vs 7.2% alaf unasema munaendelea munaendelea kwenda wapi??😀😀
au munaendelea kwenda kaburini maana kila janga limewakumbatia nyie
hawaelewi wanaropoka tuNajua kwako kuifunga Simba umaona raha sana. Maana ni kitu adhimu sana. Umeona lakini Statistic hapo juu? Clubs za Tanzania zinavyoongoza?
Fanya simple mathematics and count how many times tz and kenya hav won that cup uniambie whos leading,mnajishika wenyewe[emoji23] [emoji23]hapo unawapoteza kabisa
5percent of $80bn
7percent of $56bn
Fanya iyo hesabu kidogo alafu uje na majigambo yako
That one should not bother you, is like you have 1000 mangoes and your friend have 500 then he tells you that ameincrease the number of mangoes by 7.2% na wewe umeincrease zako na 4.4%. Now tell me, nani ameongeza maembe mingi kati ya nyinyi wawili? This is what will happen. YOU: 4.4%×1000= 44 HIM: 7.2%×500= 36wrong, For as long as I have been here... Your growth rate has been extronomical but on the ground you remain rooted to the poorest countries of the world.... Hiyo ukinipatia explanation tosha... Nitakununulia chips mayai wakati wa Krismasi....
That one you should not bother you, is like you have 1000 mangoes and your friend have 500 then he tells you that ameincrease the number of mangoes by 7.2% na wewe umeincrease zako na 4.4%. Now tell me, nani ameongeza maembe mingi kati ya nyinyi wawili? This is what will happen. YOU: 4.4%×1000= 44 HIM: 7.2%×500= 36
Meaning you have added extra 8 mangoes than him.
Naeza taka kuwe na eastafrica premier league tujumuishe team za tz, Ethiopia, rwanda, ug, kenya na Burundi aisee inaweza kuwa tamu sanaDon't be exited, That was Simba B
So akina Ichoboy wakifanya hiyo calculation poa watapa growth ya Kenya bado iko juu kuwaliko. They are blinded by the percentage not knowing what is behind it. Does they know that 7.2% is same as 0.072?
hahaha wacheni tungojee world cup....najua watanzania bado wako na stress.wacha wapambane na hali yao......wamejua hawajui.
Nawapa pole zangu
Haha we jamaa mswahili kumbetunamla mkavu mkavu!
mbona towns zenu za Kaskazini ziko organised than the rest?
Kenya ndio mlikuja kujenga?acha kuwanga mchana wwDue to influence from Kenya
Due TO INFLUENCE FROM KENYA. Back to grammar buddy.Kenya ndio mlikuja kujenga?acha kuwanga mchana ww
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
hahaha, wewe shida ni hilo GoviTihahahhaaaaa.... I like your comedy... Nikutafutie nafasi kwa Churchill raw ama Churchill live???
hehehehe, One thing I personaly Love in kenya is all of you speak English, (Very Good English), Sijui mnajifunziaga wapi, Yaani unakuta mtu anakaa Kibera na Anaongea Kingereza hatari. I love That.My friend nipatiwe maisha ya Mdanganyika na maisha ya mbwa..... Aaaw boy.. I would rather be a dog.
Hizi ata Moshi ziko leta nyumba ya maana acha utani
hehehehe, One thing I personaly Love in kenya is all of you speak English, (Very Good English), Sijui mnajifunziaga wapi, Yaani unakuta mtu anakaa Kibera na Anaongea Kingereza hatari. I love That.