This one is Ksh 75000
magomeni hehehhe sio sehemu zile nyeti magomeni ππππππThis one is Ksh 75000
Ebu leta izo za oyesterbay tuchape hesabusijagusa oyesterbay wala masakiπππ
nawewe ulete ushahidi wa ksh 400,000 alaf tuendeleeπππππEbu leta izo za oyesterbay tuchape hesabu
8yenyewe haijafika nikijieneo tu ukisogea mbele ni 6lanethika ni 8lanes my friend usije kwenda mbele za watu ukasema 10lanes watakucheka watu ππππ
Wacha kutapa wacha kueka vioski vya kawaida tunataka nyumba inaanza $4000 kwa mwezi si izi vibanda vya ajabu unapachika hapa
nishamtoa makamasi tayariππππ8yenyewe haijafika nikijieneo tu ukisogea mbele ni 6lane
leta ushahidi kua nairobi ipo??πππWacha kutapa wacha kueka vioski vya kawaida tunataka nyumba inaanza $4000 kwa mwezi si izi vibanda vya ajabu unapachika hapa
maumivu yakizidi pata ushauri wa daktarikwa vile nzi hawapo nairobiπππ
vile nairobi iko europeππππ
matatu zimejaa kunguni
Ona sasa ulivyo mwehu!! unanionyesha nyumba za Tsh1.5 million which is Ksh75,000!! or you thought quoting them in dollars woukd scare me? $1,500 is equivalent to Ksh150,000. Nyumba za Ksh150,000 zimejaa westlands, kuleleshwa na kilimani. Niliuliza nyumba inalipishwa Ksh
huu ni ushahidi??πππππ
na hizi tuziite vipiMultiply by 2View attachment 798938