hii kilio ni ya mbwa koko.Dar yote inafanana kama hiyo picha ya brt hapo juu so tuliketa picha za nyumba za bati zilizorundikana bila mpangilio mbona mnakataa sio dar? Coz dar is the only mega slum in EA with shanties (dream houses) everywhere
thika road inazunguka katikati ya kijiji cha nairobi!!!!!,kwanza unashangaaje highway kuwa na 50km??Mbona umesahau kututajia kuwa inapitia ndani ya slums? Au hiyo sio kitu muhimu kujua? Then u are talking of a 21 km 4-lane road wakati Thika rd ni 50 kms 12 lanes!!
muungwa akivuliwa nguo kuchuchumaa kuficha matako,you guy unainama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]At least we had one of our iwn representing Africa. Nyinyi mnasaidiaje Africa? This guy is among the few FIFA referees from Africa who were going to officiate in the world cup...I now you danganyikans have a short nemory; Aden Marwa officiated even in the last world cup in Brazil....nyinyi endeleeni kupiga domo
Miji iliyopangwa vizuri Tanzania niTanga then Moshi na Dodoma. Arusha haifikii hio miji kwa mpangilio labda weather tu ndo inazizidi.All along, I have always liked one town in Tanzania and that has to be Arusha and I have said so many times on this forum. There's a lot of order in that town then it has so many green spaces unlike most towns in TZ. I also saw a few pictures of Moshi and I think am going to add to on my list of favourites from the land of ujamaa. Mwanza, in my very honest opinion, is very much overrated and has nothing to its "big" name.
[emoji23] [emoji23]
Thika rd inapitia kijiji gani? Alafu wewe ndo mwehu unataja barabara ya 21 km ya lanes nne. Mimi nimetaja 50 kms 12 lanes!!thika road inazunguka katikati ya kijiji cha nairobi!!!!!,kwanza unashangaaje highway kuwa na 50km??
ni jiji moja tu EA lina slums.tena zaidi ya moja.
Yaani wakenya wakiona high density residential area wanaita slum. Acheni ushamba slum ni kama zile za Kibera ambazo Tanzania nzima hazipo.
Kwa ujinga wako ukaweka Picha ukasahau ku-edit hizo daladala kando ya BRT.[emoji23] [emoji23] View attachment 798836
We zwazwa nimeweka kuonyesha uzwazwa wa wakenya kujitangazia vitu vya Tanzania kwenuKwa ujinga wako ukaweka Picha ukasahau ku-edit hizo daladala kando ya BRT.
khakhakha 😀😀😀😀😀Kwa ujinga wako ukaweka Picha ukasahau ku-edit hizo daladala kando ya BRT.
ION confirmed Mo Salah yuko kwenye world cup 2018 Russia.
tuoneshe 12 lanes hapa😀😀😀😀Thika rd inapitia kijiji gani? Alafu wewe ndo mwehu unataja barabara ya 21 km ya lanes nne. Mimi nimetaja 50 kms 12 lanes!!
mbona povu??Thika rd inapitia kijiji gani? Alafu wewe ndo mwehu unataja barabara ya 21 km ya lanes nne. Mimi nimetaja 50 kms 12 lanes!!
akikuonesha 10 lanes unitag😀😀😀mbona povu??
nauliza unashangaa highway kuwa na 50km!!!au hujui highway ni nini???
hakuna kitu kama hicho sehemu za watu wenye kipato cha chini ndiyo mara nyingi huwa hivyo......ila sehemu hizo hizo. pia wapo wanaojiweza .......Cha kushangaza ni kwamba kila picha ya Dar ikiletwa hapa the only thing nyinyi husema ni mwama ya maeneo ya watu wa kipato cha chini. Kwani Dar nzima kila mtu ni wa kipato cha chini kwa sababu maeneo mengi ya Dar yanafana vivyo hivyo
ni safi kabisa hapo .......ukipita chini utastaajabu ya mussa ni hatariHiyo sehemu ni bomba kweli, at least according to Tanzanian standards. Hata sisi pia tunaona ilivyo bomba hehe
[emoji28] [emoji28] [emoji28] si usome hapo chini nawewe.dahKwa ujinga wako ukaweka Picha ukasahau ku-edit hizo daladala kando ya BRT.
ION confirmed Mo Salah yuko kwenye world cup 2018 Russia.
utalia sana ..........Talking of viwango vya kimataifa, enda Gigiri uone what international standards mean. Gigiri has arguably the highest number of expatriates in sub saharan Africa outside south Africa.
hapo huyo hana kitu inadhihirisha mfumo wake wote wa maisha ni rushwa from ze scrach[emoji2] [emoji2]At least we had one of our iwn representing Africa. Nyinyi mnasaidiaje Africa? This guy is among the few FIFA referees from Africa who were going to officiate in the world cup...I now you danganyikans have a short nemory; Aden Marwa officiated even in the last world cup in Brazil....nyinyi endeleeni kupiga domo
akikuonesha 10 lanes unitag😀😀😀