[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naangalia mpira hapa kiukweli kiwanja kibaya hiki inahitaji moyo kucheza
Ukimaliza nilazima mchezaji upate Panadal zakutosha
Uwanja mbaya kweliNaangalia mpira hapa kiukweli kiwanja kibaya hiki inahitaji moyo kucheza
Ukimaliza nilazima mchezaji upate Panadal zakutosha
He didn't just participate, he scored the winnig goal for Belgium as well...Kwani wewe unaishi dunia gani? Number mtasoma kabisaleta ushahidi hapaππππ
ok fineHe didn't just participate, he scored the winnig goal for Belgium as well...Kwani wewe unaishi dunia gani? Number mtasoma kabisa
World Cup 2014: Divock Origi scores late winner for Belgium
Angalia wakenya wanavyojua kuongopa:hahahaha....hahahaha.....wakenya roho unawauma sana kuona kwao kuna slums halafu tz hakuna.
wameamua kujivifa uandishi wa kuandika articles kuhusu makazi ya tanzania.
Watakuambia dream houses hizo....hehehe
hawa dar washaifahamu kua sio level ya sasa kilichobakia ni kulazmisha waonekane na wao wamo hawajashindwaππAngalia wakenya wanavyojua kuongopa:
Wameandika Dodoma ni part of Daressalaam!
Makosa Tandika wameandika Taundika!
Na Kariakoo ameandika Kauriakor!
Mwandishi anadai eti wale wachonga vinyago pale wenge wanaishi katika umasikini mkubwa na mwenge ni eneo la slums!
Uwongo mtupu kabisa. Ni wazi mwandishi haijui Tanzania wala Dar hata kidogo. Wamejaa chuki na TZ tu.View attachment 796649
Huyu kijana wa Mazense anapinga kila kitu....he is soon denying his own existenceIchoboy we unapinga kila kitu? Shida yako ni nini?View attachment 796617 View attachment 796618 View attachment 796619 View attachment 796620 View attachment 796621
kama ni dar nitakwambi na kama sio dar nitakwambia sio hehehhe usitake tufanane wakati hatuwez fanana uani ulazmish slum ziwepo wakat hakunaπππHuyu kijana wa Mazense anapinga kila kitu....he is soon denying his own existence
Huyu aliandika hii makala atakuwa ni member Wa jf kutoka Kenya.Angalia wakenya wanavyojua kuongopa:
Wameandika Dodoma ni part of Daressalaam wakati siyo!
Makosa....Tandika wameandika Taundika!
Na Kariakoo ameandika Kariokor!
Mwandishi anadai eti wale wachonga vinyago pale wenge wanaishi katika umasikini mkubwa na mwenge ni eneo la slums!
Uwongo mtupu kabisa. Ni wazi mwandishi haijui Tanzania wala Dar hata kidogo. Wamejaa chuki na TZ tu.View attachment 796649
Kabisa Simba imeboronga kabisa hovyo hovyoUwanja mbaya kweli
ila Simba wanacheza chini ya kiwango kabisa
yanatia hasira
Sijui yamekuwaje
wazungu waliona sluma nairobi na hawakuona dar sasa leo watasema mzungu hakufanya research au aliwaonea tuππππHuyu aliandika hii makala atakuwa ni member Wa jf kutoka Kenya.
Na huu uhuni wanafanya kwenye mambo mengi tu.bahati mbaya kuhusu slums inahitajika research iliyotukuka,sio hii ya baada ya kushiba githeli na togwa.
Sasa unataka uambiweje??,hizo ni nyumba za watu masikini Wa kipato cha chini kabisa.Watakuambia dream houses hizo....hehehe
Mwandishi nimoja ya Vilaza wa JF toka Kenya mbona hilo linafahamikaAngalia wakenya wanavyojua kuongopa:
Wameandika Dodoma ni part of Daressalaam wakati siyo!
Makosa....Tandika wameandika Taundika!
Na Kariakoo ameandika Kariokor!
Mwandishi anadai eti wale wachonga vinyago pale wenge wanaishi katika umasikini mkubwa na mwenge ni eneo la slums!
Uwongo mtupu kabisa. Ni wazi mwandishi haijui Tanzania wala Dar hata kidogo. Wamejaa chuki na TZ tu.View attachment 796649
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawaelewi kuwa Tanzania imejengwa na Watanzania wenyewe. Wao walipata mteremko kujengewa na waingereza lakini wameshindwa ku maintain kainchi chao zaidi ya kuongezeka kwa slums.Huyu aliandika hii makala atakuwa ni member Wa jf kutoka Kenya.
Na huu uhuni wanafanya kwenye mambo mengi tu.bahati mbaya kuhusu slums inahitajika research iliyotukuka,sio hii ya baada ya kushiba githeli na togwa.
akikuonesha nitag plzππππSasa unataka uambiweje??,hizo ni nyumba za watu masikini Wa kipato cha chini kabisa.
Nionyeshe nyumba zao watu Wa kipato cha chini wa Nairobi.
Nasubiri hapaakikuonesha nitag plzππππ
tena ugonjea wa slums in nairobi ni ugonjwa mkubwa sana unaokula maisha ya wakenya kila leo ila wao wanaona ni sawaππππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawaelewi kuwa Tanzania imejengwa na Watanzania wenyewe. Wao walipata mteremko kujengewa na waingereza lakini wameshindwa ku maintain kainchi chao zaidi ya kuongezeka kwa slums.