Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivu........

Dar ituonyeshe urembo wa aina huu























Sina wivu bro mm naijua nairobi nimekaa ila nakueleza dar ni mji mkubwa tena mkubwa sana kwa nairobi na navoifahamu nairobi imejengeka sehem moja so mm nashangaa kila aiku mnapost picha zile zile kila Siku hahahahahhaha
 
sasa Dar ni coastal city na Nairobi ni inland city, ulitegemea Nairobi iwe na kisiwa kivipi
So kwa akill yako ulitaka tusiweke au?????? SI hata mm nawashangaa kushindanisha cost city na landlocked city hahahahahah bado munashindana na dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…