Pamoja sana kiongozi hatuwezi kuwaacha vichaa wachache waje kutuharibia JF yetu, jamaa alikuwa ananitia hasira sana na matusi yake akiona ameshindwa kwenye hoja anatumia matusi, job well done mkuu.asante mkuu.huyu kijana kavumiliwa sana na watz, hana hata mwezi tangu ajiunge jf,lakini speed ya matusi aliyokuwa anaenda nayo haikuwa na staha mbele ya watu wazima wanaonjiheshimu.ilibidi atokee mtu wa kumpunguza speed.
nimekuwa member mwaminifu wa jf tangu 2011,na nimewahi ku-debate na member wengi wakenya hapa jf.
niliwahi ku-debate na kina kabaridi,nairobery na member wengine wakongwe wakenya ambao kwa sasa hawaonekeni.
hivyo basi nina uzoefu na ujanja mwingi ktk kucheza na akili za member vichaa kama huyu kijana wa mitaa ya kibera toka kenya.
nimemuingiza kwenye 18,akapaniki,hatmaye akaanza kuleta picha za ajabu ajabu,zile ambazo wakenya hupenda kuzitumia kule Twitter ku-troll watu wa mataifa mengine pinzani na kenya.mwishowe akachezeya ban.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio inayojengwa dar sasa hio hahahhhahha hutaki ijengwe au hahahahahhah mbona muoga sana hahahhaHiyo picha ya Dar?
Ahhahahaha random pics au sio hahhaha top eti rahaaa sana jipe moyo sio mbaya hahhahhahhahaRandom Nairobi Pics
While others compare the size, we look at aesthetics..........Nairobi's clearly tops all the other cities in this aspect.
Hiyo ni ya mzingo. Si hata nimekuonyesha zote mbili side by side. Treni aina mbili Kenya zililetwa kuhudumu kwenye reli ya SGR, ya mizingo na ya AbiriaSo unataka kutuambia hio ya mzigo hahhahaha
View attachment 491987
So are those modern train????? Dereva mpaka aekewe ngazi za kupanda na kushuka serious????Hiyo ni ya mzingo. Si hata nimekuonyesha zote mbili side by side. Treni aina mbili Kenya zililetwa kuhudumu kwenye reli ya SGR, ya mizingo na ya Abiria
Nani huyoooAisee jamaa kapotezwa.
Yap na hio malizia
Wivu........Ahhahahaha random pics au sio hahhaha top eti rahaaa sana jipe moyo sio mbaya hahhahhahhaha
Mm hua munanifurahisha sana sijui kwa wengine
Ah, nonasense! As if u even have trains to speak of.So are those modern train????? Dereva mpaka aekewe ngazi za kupanda na kushuka serious????
Hahaaahahahah hebu niambie wewe unaona VP
Bro wachina wamewapiga mm nakwambia
View attachment 492009