Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha Jizee linaguruma na hasira....iyo yako ni kichaka....semi arid kama samburu
povu...hahahaha. i like it. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haha unafaa kujua most Kenyans wanamiliki mashamba isipokuwa ndani ya Nairobi...but metro towns za Nairobi like rongai,Ngong,kikuyu,thika,athi river na Kitengela watu wanaishi mkwao..sehemu zingine zote Kenya watu wako na makwao.
 
hii takataka ambia wanaijeria kule nairaland, sio mimi mtz [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
according to him, it's a family farm not his. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ataridhi pia...
kwetu pia wajukuu wote 15 tuliridhi 50acres kila mmoja ya chai (Lari constituency,kiambu)kutoka kwa babu yangu.
Kuridhi pia si mbaya but tunanunua zetu.
 
HABARI YA KUSIKITISHA MIONGONI MWA WAKENYA WA JF WASIOPENDA CHOCHOTE TOKA TZ.

it is confirmed, cecafa 2018, azam tv tano tena for the second time. viva tanzania.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii takataka ambia wanaijeria kule nairaland, sio mimi mtz [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tumia road ya narok,bomet,kisii,homabay hadi migori ukielekea mwanza uone wakenya wakiishi kwa mashamba zao..pia tumia northern corridor hadi bungoma...hii upuzi ya kusema wajenya hawana mashamba acheni
 
labda kwa ndotoni. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
AFC KANDO!! SASA BARABARA YETU NI NYWEE HADI FINALLY.... LAKINI AFC IMEPOTEZA CHANCE MINGI... BIG UP SINGIDA...
 
Hawa jamaa n zuzu qweli.
 
Singida wanakutana na babayao Gor
na wasipokuwa makini, watafungwa na singida united.
kumbuka mpira sio porojo za mashabiki jukwaani au kwenye social media, mpira ni dakika 90 dimbani.
 
kumbe kuwa na Bus nzuri haimaanishi hamuwezi lose game 😀😀
 
na wasipokuwa makini, watafungwa na singida united.
kumbuka mpira sio porojo za mashabiki jukwaani au kwenye social media, mpira ni dakika 90 dimbani.
GOR iko dunia ingine... Ball yao iko juu sana nikama USEMWE Real Madrid vs Liverpool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…