Hahahhaahha mkenya mbumbumbu hahahahaa eti safaricom ndio inaongoza kwa revenue hahhaahahhaa aise naona huyu hajatahiriwa bado hhahahhahahahAirtel iko hadi Kenya na ni headquartered Kenya(african headquarters) na iko nchi over 50.ka GDP yenu $48b...ebu soma vizuri...utajidharau....ka safaricom ndio ina make the highest profit in east africa of $5b ....profit ya airtel ni ya nchi mingi fala hii
Tanzania in reserve ambayo discovered 57trillion cf na hatujui ambayo haijavumbuliwa hahhahahaa hhaijui tanzania huyu hatujaingia kwenye coal hahhahahha hatujaingia kwenye gas iliokua inatoweka dunian helium gas ambayo imepatikana tanzania billions cubic feet hahhahahahhaha huyo hajatahiriwa badoAre you sure? Price of gas ni $3.5/mcf(thousand cubic feet). Na Tz wana reserve ya 57tcf (trillion cubic feet. Sasa unapataje $8b?
Hahhahh anataka kupinduliwa marindaHii mada naona imeingiliwa aisee!!
Kwahelini humu kuna kirusi si bure
Anataka kupinduliwa marinda hahhahahaCOLLOH-MZII katika ubora wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahha ndo zimevumbuliwa karibuni kua mpole nyako maber hahhahahahahha na sasa tumeanza kuzifanyia kazi tunajenga biggest mall of tanzanite only na packaging ya tanzania ni made in tanzania hahahhahahha kazi ipo magufuli chapa kazi 😀😀😀😀😀Wako na resources mob but hawajui kuzitumia.
SHAME!!!
tayari tushamaliza kazi.Anataka kupinduliwa marinda hahhahaha
Huyu sidhani kama katahiriwa hahahha hata simuelewi anaruka akiruka tulia wewe upewe kitu stahiki LPG nyingi inayokuja Kenya inapitia tanzania kwa taarifa yako sasa na makampuni mengi ya gas yaliyoko Kenya ni ya tanzania tukianza na lake gas, cam gas, o gas etc kama unabisha sema labda uwe unaishi ujaluoniOil inaanza kuuzwa this year turkana itasahau njaa..alafu turkana ni desert about 2/3 ya Kenya ni arid and semi arid..nyinyi Hanna desert,mko na minerals na Kenya inawashinda economy.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mlirogwa na na ni na akakufa jameni
Haahhahhaha treni zenyewe ndo hizi hahahhhahaha wachina wamewapigaNairobi
Jamaa naona leo kichwa kilipata moto hahahha thika ni 8 lanes na sio 10 unamdanganya nani humu hahahhahahah aiseeIyo ni mzuri but sasa Nairobi projects zinaendelea ni wazimu....outering super highway ni 10 lanes na kuna underpass na flyovers(sidani kuna underpass tz)...highway juu ya highway kutoka airport hadi waiyaki way..sgr ilisha fika kitambo...kibera upgrading etcprojects hapa ni +100 ndio nakusho si ati Nairobi inalala
Tena hio express way to chalinze 6 lanes itakua na ppp na itakua na urefu wa 120 km hahhaha anafanya mchezo huyoPia tunainua 3level ubungo interchange sahv,tazara flyover na tabata flyover simultaneously....expressway dar to chalinze 6 lanes toll road..mbezi mwisho bus terminal ya kisasa pia
Tower mbili na mlikimbia kwenye over 20 buildings unacheza na dar wewe hahahhahahaHaha turkana kuna oil msee.....sasa towers mbili inawachocha hadi mnasema new daressalaam....he he man do you know nai has 164 class hotels to dar 100....na mko na beach aibu kubwa
Itaanza lini iyo express hiviTena hio express way to chalinze 6 lanes itakua na ppp na itakua na urefu wa 120 km hahhaha anafanya mchezo huyo
Kuna watu Zaidi ya lakimoja na ArobainHuyu sidhani kama katahiriwa hahahha hata simuelewi anaruka akiruka tulia wewe upewe kitu stahiki LPG nyingi inayokuja Kenya inapitia tanzania kwa taarifa yako sasa na makampuni mengi ya gas yaliyoko Kenya ni ya tanzania tukianza na lake gas, cam gas, o gas etc kama unabisha sema labda uwe unaishi ujaluoni
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna watu Zaidi ya lakimoja na Arobain
wametembelea Mada hii
Tuangalie Maneno yenye maadili basi
Tunategemea Kuwa na Barabara za juu Kwenye hiyo barabara 5Tena hio express way to chalinze 6 lanes itakua na ppp na itakua na urefu wa 120 km hahhaha anafanya mchezo huyo
Ndio wanafanya mazungumzo ya mwisho na wachina lakin magufuli kalikomalia sana hio project so I think huu mwaka haumalizi itakua ishaanzaItaanza lini iyo express hivi
Itakua na flyover 7Ndio wanafanya mazungumzo ya mwisho na wachina lakin magufuli kalikomalia sana hio project so I think huu mwaka haumalizi itakua ishaanza
May be 5 I thinkItakua na flyover 7
Safi sana kiongozi huyu jamaa sijui kalelewa maisha gani huko kwao atatia akili banned atatia akili aende kwenye forum zao za ukabila.Tayari Tumesha muweka mahali salama
hahaha
Tusubiri mkeka. ..itafanya Moro ikue sasa kuliko ata dodoma maana ata electric train itaanza faidisha Moro piaMay be 5 I think