Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yanga yenu inaumizwa huku na team ndogo. Hahaa

kwenye club level mimi sio shabiki wa yanga,so ni sawa tu ilivyofungwa leo.

timu yangu ninayoishabikia ni simba sports club ambao ndio mabingwa wa ligi kuu ya tanzania mwaka 2017-2018.

kuna katimu ka wakora na machokoraa wa kariobangi watakabiliana na simba sport club katika mashindano ya sportpesa kesho.

katimu kenye followers 1697 instagram kataenda kukabiliana na giant mwenye followers 277K.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


nisiongee maneno mengi sana tusibiri hiyo kesho cos mpira ni dakika 90, mpira sio maneno ya kwenye social media.
 
Kama ingewezekana hao followers wa Twitter waingie uwanjani wawafungie angalau bau moja, ingekuwa vyema sana. I believe that hata yanga wako na followers wengi kushinda KK homeboyslz but hao followers hawakuwasaidia kupata kichapo cha mabao matatu
 
Kama ingewezekana hao followers wa Twitter waingie uwanjani wawafungie angalau bau moja, ingekuwa vyema sana. I believe that hata yanga wako na followers wengi kushinda KK homeboyslz but hao followers hawakuwasaidia kupata kichapo cha mabao matatu
tusubiri hiyo kesho.
wakora wa kariobangi vs simba sc.
 
kariobangi slum hehhehe vijana wasio na kzi waliokata tamaa na maisha ndio wanachezaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haiyani thought ofisi na basi zitawasaidia washinde
ni mafanikio ya team tuoneshe za kwenu basi
tena team za tanzania zinatengeneza pesa na ziko kibiashara zaidi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€




sasa tuoneshe mafanikio ya team ya gor mahia angalau tuone ofisi yao heheheh πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Huu mlima ni shamba letu la bibi yani tunamla hadi tigo mpende msipende. Povu ruksaaa
 
Huku kwetu mabasi kama hayo ni ya shule za upili zinatembelea na watoto...kweli Tz ni ya 90s Hadi tunawachapa kama burukenge ... Kakamega Home boyz 3 - 1 Y-Anger ndo maana hasira πŸ˜€
 
Sawa. Na ujue followers hawachezi mpira
 
Huku kwetu mabasi kama hayo ni ya shule za upili zinatembelea na watoto...kweli Tz ni ya 90s Hadi tunawachapa kama burukenge ... Kakamega Home boyz 3 - 1 Y-Anger ndo maana hasira πŸ˜€
yanga team B ndio mumecheza nayo team A iko huku hata leo imechezaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mafanikio ya gor mahia yako wapi???
 
Mafanikio ya team inakuanga uwanjani, sio kumiliki magari zinazotumiwa na shule za upili huku Kenya. Kama team inapigwa kila kukicha sasa iko na mafanikio gani? Alafu team za tz ziko na pesa gani wakati hata mfadhili wa hizo team zenu ni Sportpesa ya huku kwetu?
 
weka picha, acha porojo..
 
siunaona sasa ujinga uliokua nao sasa kama unashinda uwanjani alf huna mafanikio ya team kimaendeleo kuna faida gani hapo ikiwa hata ofisi hakuna uwanja wa mchezo hakuna gari ndio hilo bovu la tuzoπŸ˜€πŸ˜€ alaf jnasema maendeleo ni uwanjani sijui kama unajua maana halisi ya development

team za tanzania ziko kibishara na zinatengeneza revenue kubwa sana na zinajiendeleza kimaendeleo sasa hvi yanga na simba wote wameshaanza ujenzi wa viwanja vyao vya mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…