Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

napelekana wapi na manyimbo za kiswahili...

ata kwa TV za Kenya ni kina kiba nawaonanga tu..sijui Jo Makini,diamond,ommy dompoz na venessa...hao ndio nawajua vizuri
acha uongo wewe!!unavunga.....??
 
Hii Yanga ndo ile timu iko na ifisi kubwa kushinda ya Gor ama hii ni ingine? Hahaha....si wangeingiza ile ofisi wabongo wanatuonyesha hapa iwafungie mabao. Juzi waltwangwa na MC Algiers sasa KK Homeboyz



ni hujumaa
 
haya ndio matokeo mabaya ya umiliki wa ardhi kenya 😀😀😀😀😀 alaf wanaota umaskini kuisha
 
viva tanzania...wanatamani coordinate za mlima kilimanjaro ziwe zinaonyesha mlima upo kenya.
wamebaki kula kwa macho.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…