Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama vile yakwenu mlivopika mpaka ikaungua 😀😀😀munadanganya wazungu huku unempoyment rate pamoja na below poverty line inakula maini yenu😛😛
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnasifusifu Diamond Hapa nikama ni Chris brown

because he is not only representing tanzania to the world but the whole region of east africa since he is arguably the only eastafrican artist who has done many music tours and performances in europe and USA as compered to other artists.

the truth is bitter...i'm not forcing you to agree with me or disagree.
 
povu... hasira. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

ichoboy mdogo wangu
naomba leo u repost picha za lile gari lako na iphone.

nataka leo tuwavuruge hawa vilaza na kuwatoa kwenye reli mapema.

wakiona tu gari lako na iphone, wanahamishia battle na hasira yao kwenye
hivo vitu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya acheni wivu. Nunueni kinhg'amuzi cha Azam mpate kuona Racing Show kali toka EAST AFRICA

kwani unafikiri king'amuzi cha azam hawana, wanacho majumbani kwao na wanafatilia kimya kimya kila kinachoendelea tanzania.

ila hapa jf hawawezi ku admit, lazima watakwambia hawana time na azam tv wala hawafatilii affairs za tanzania.

twitter ndio kuna wakenya wengi genuine wasioona haya kukubari ukweli pale wanapizidiwa na tanzania.
sio hawa vilaza wachache wa jf na wapiga porojo.

about last year during cecafa tournaments.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 

Yaani kusema ukeli AZAM wanakuja kwa kasi sana. Nadhani DSTV wamepata mpinzani wa kweli hapa EA.
Wakiweza kurusha mpira wa Uingereza tu natupa king'amuzi cha DSTV. Sasa hivi inaniwia vigumu kweli inanibidi nitumia viwili. Azam na DSTV
 
Yaani kusema ukeli AZAM wanakuja kwa kasi sana. Nadhani DSTV wamepata mpinzani wa kweli hapa EA.
makaburu wa dstv hawana hamu na bakhresa. amewanyorosha kisawasawa mpaka wameshusha bei ya packages zao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

kwa mda mrefu dstv ilikuwa haina mpinzani wa biashara ya pay tv hapa tz na baadhi ya nchi za EA, wametengeneza pesa sana.

ila kwa sasa wamepata kiboko yao.si mwingine ni azamtv.
 
makaburu wa dstv hawana hamu na bakhresa. amewanyorosha kisawasawa mpaka wameshusha bei ya packages zao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walikuwa wanalinga sana. Yaani kwa sasa unalipia mpaka shi 19,000 DSTV kwa mwezi.
Kawapiga za mbavu. Nadhani kwa sasa more than 50% ya watumiaji wa TV Tanzania wanatumia Azam maana kuna channel matata za kibongo. Tukianzia kwenye Sport, Entertainment, News (Kuna mdada matata Ivvona kamuntu)
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Yaani kila kona tunawakamata tu. Kwenye utalii tumewapiga bao, Entertainment ndiyo usiseme.
Kuanzia Movies, Music na Sports tunawakimbiza ile mbaya wamebaki na Kukimbia kimbia tu yaani michezo ya kitumwa michezo ile ya zama za kale. Lakini Modern issues hawapo hawa jamaa.

Hebu cheki mkoa kwa mkoa Azam Car racing. Siyo Muda utaona dunia inahamia TZ kufanya racing.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…