Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku utaelewa chenye diamond huimba unitag
wewe sikiliza mziki mzuri achana na kiswahili cha diamond, after all hakuna mkenya anayeweza kuelewa kiswahili cha diamond platnumz. his kiswahili ili classic.

kuna siku nikiwa kwa matatu zenyu hapo nairobi, nikasikia "despacito" ya luis fonsi
ikipigwa kwa matatu.unataka kuniambia majority ya wakenya wanaelewa spanish?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa ngoma nyingi zake hua anabweka tu.....hakuna kitu cha maana hua anasema
 
Kwa ngoma nyingi zake hua anabweka tu.....hakuna kitu cha maana hua anasema

hiyo ni porojo tu unaongea.

licha ya kwamba huwa hamuwezi kuelewa kiswahili chake, nyinyi ni mashabiki wakubwa wa diamond platnumz kiasi kwamba mpaka jina lake mmeliandika kwa matatu zenyu.

it is not a secret, kenyans are royal diamond platnumz fans.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

NB:
ulishawahi kuona jina au picha ya mwanamziki au celebrity yoyote wa kenya kwenye public transport za tz?.
ukipata nitag. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Diamond zii Alikiba labda... Huo msee Sijui anadhani he ni Chris brown nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…