Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ive noticed something about tz,in kenya these altezzas were mostly noticed around 2007-2010 but whenever im in tz i still see them same as toyota crown athlete 2007,ive been noticing them in tz alot while kenya we now mostly hav the 2010 model
hio sio altezza wewe hio ni lexus ya mwingerez hehehe
mapovu mpaka mwisho๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ munajifanya muko europe kumbe uwozo wa bata๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›

hzo crown athlete za 2010 zimejaa dar es salaam tena zinapendwa ile mbaya

endeleeni kuendesha probox maana nusu ya magari ya kenya ni probox heheheheh wakat probox dar unaeza kuta hazizidi 10๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
nilishawaambia kuhusu probox.
kwamba tanzania probox ni gari ya hadhi ya chini sana na sio nyingi kihivyo.

kwa hapa dar inaweza ikakuchukua hata siku nzima usikutane na probox barabarani.
 
Dar hamna magari labda daladala na basi kadhaa za BRT ndio maana unaweza uka-drive daladala more than 50km usikutane na gari private... ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
asante kwa porojo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
haelewi huyo
 
hehhe feelings zimekukamata kisawasawa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
hapa yenyewe niko my own car lexus manual 7 speed transmission hehehe๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ 260km per hr
View attachment 789953
utafanya waache ku discuss issues waanze ku attack race yako.

mda si mrefu wataanza ku catch mafeelings. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa nani anaelewa kiswahili abroad.....
kama si Kenyan Diaspora walio wengi especially US sijui wangeperformia nani
wewe ni chizi........kweli ngoja nikufunze kitu

mziki hauna lugha bro kikubwa nikufanya mziki mzuri tu,,,,,na dunia haina lugha moja zipo tofauti hao wanaoijua english mbona wanazisikiliza nyimbo za kimexico na kwenye club zao zinapigwa mara kwa mara....

nakwajinsi ulivyo mpuuzi hata wewe mwenyewe umewahi kuzisikiliza nyimbo za mexican,indian inamaana unazielewa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndiyo maana limemkaa mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ