Wewe wacha utoto na vitisho habari za hoteli tulimaliza na kama unataka re match fungua uzi, nyi na mdomo hamjambo. Ukifungua uzi unitag tuheshimiane leojaribu tu kugusa kokote alaf utajionea mwenyewe maana hii thread imewafungua sana machoπππ
Fungua uzi wacha vitisho nko readyjaribu tu kugusa kokote alaf utajionea mwenyewe maana hii thread imewafungua sana machoπππ
hehehe kwanza pambaneni na ufisadi, njaa, , slums unemployment alaf muje kushindana na tanzaniUfusadi unataliza aiseeππ
tunamaliza hapa hapa kwenye watu wengiππFungua uzi wacha vitisho nko ready
tuheshmiane hapa hapa anzisha hapa hapa alaf uone sasa kwann tukajifiche wakat sehemu ipo hapa hapa kwenye watu wengi ndio tutaheshmiana vzrππππWewe wacha utoto na vitisho habari za hoteli tulimaliza na kama unataka re match fungua uzi, nyi na mdomo hamjambo. Ukifungua uzi unitag tuheshimiane leo
google dar es salaam slums utaipata jibuππ najua ukweli unauma lakini jip moyo babaa.leta link ya hio picha kua ni dar alaf nikuoneshe jangwani ilipoππππ simple and clear
link umekosa hehehe ππππππππ niumie na udongo mwekundu dargoogle dar es salaam slums utaipata jibuππ najua ukweli unauma lakini jip moyo babaa.
Ndio hii Dar unless you prove otherwiseππlink umekosa hehehe ππππππππ niumie na udongo mwekundu dar
anaetakiwa kuprove ni wewe uliepost kua hapo ni dar with vivid support hehe πππππNdio hii Dar unless you prove otherwiseππ
mimi nimeprove na picha sasa wewe disaprove na picha...hahaha πππππanaetakiwa kuprove ni wewe uliepost kua hapo ni dar with vivid support hehe πππππ
picha hujaprove wapi sehemu imeandikwa hapo ni dar mbona link hua munatuma humu ndani leta ushahidi kua hapo ni dar kama wewe ni mwanaume unaejiaminimimi nimeprove na picha sasa wewe disaprove na picha...hahaha πππππ
shika ushahidi babaapicha hujaprove wapi sehemu imeandikwa hapo ni dar mbona link hua munatuma humu ndani leta ushahidi kua hapo ni dar kama wewe ni mwanaume unaejiamini
mwanaume kujiamni leta ushahidi hapa ni sawa mm nipost hii picha alaf niseme nairobi wewe siutaniomba ushahidi