Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Hapa umewamada buda.... Haha. Kwanza ya juu hiyo
hehhehe slum za nairobi kibera ndizo zinakuja dar hahahahha google inawadanganya hvoπππNimegoogle dar es salaam slums,angalia majibu.View attachment 787754View attachment 787755
google ndio inakudanganya ππππ70% ya Dar population are slum dwellers, kana nikuprove wrongπππ...Thats a population of 2.8m
Nisaidie kushangaa mkuu.hehhehe slum za nairobi kibera ndizo zinakuja dar hahahahha google inawadanganya hvoπππ
nimecheka sana haya anauoyafanya yalifanywa na kina colli mzii kina edward wanjala walikuwepo kabla yake na wakakimbia humu ndaniππππNisaidie kushangaa mkuu.
Niambie in words staki mfanoπππ...Nakuliza maana unanionyesha mfano.Jinga kweliππhujui maana ya link sindioπππ
hii ndio link boya wewe shuleni ulienda kula bajia
House in Masaki by Hayato Komatsu Architects | Dezeen
usizuge hapa kubadilisha topic leta link of what u posted usibadilishe mada kijanja mm nishakutana na watu kama wewe huko nyuma leta link hapa of what u posted alaf uone nitakavokufanya hutakaa kunisahau mpaka kufaππππππππNiambie in words staki mfanoπππ...Nakuliza maana unanionyesha mfano.Jinga kweliππ
google ndio inakudanganya ππππ
leo nimecheka sana slum za mathare na kibera zinasema dar hahahhahah
usizuge hapa kubadilisha topic leta link of what u posted usibadilishe mada kijanja mm nishakutana na watu kama wewe huko nyuma leta link hapa of what u posted alaf uone nitakavokufanya hutakaa kunisahau mpaka kufaππππππππ
I can't a urgue with a foolππusizuge hapa kubadilisha topic leta link of what u posted usibadilishe mada kijanja mm nishakutana na watu kama wewe huko nyuma leta link hapa of what u posted alaf uone nitakavokufanya hutakaa kunisahau mpaka kufaππππππππ
Si vyema kumkataa mamako. Hapa ni Dar es Salaam hata nyanyako anajua.hasa mama sehemu siyo yenyewe tukubali ilu iweje...?...sehemu ikiwa dar mbona tunawakubalia mfano jangwani tumewakubalia nakuwarekebisha kama jangwani sasa hivi ni kupo open nyumba zilivunjwa
Ungetoa link tu,akajisomee mwwnyewe.
Acha nikuchoze kidogo tenaπusizuge hapa kubadilisha topic leta link of what u posted usibadilishe mada kijanja mm nishakutana na watu kama wewe huko nyuma leta link hapa of what u posted alaf uone nitakavokufanya hutakaa kunisahau mpaka kufaππππππππ
Hahaa huu mji sio aisee.unajua sijatembe hiyo mitaa muda sana!!!
70% ndani ya slum? Na bado wanakataa hapa sio Dar?πππ
uhahaha link umekosa hehhe unaogopa kushikwa makende πππππ