Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you know pspf towers were designed by a Kenyan Architect.
Nyinyi wakenya tumeshawazoea kila kitu kizuri kinachopatikana au kinacho tokea tanzania basi lazima mjikombekombe na nyinyi muonekane mlikuwepo.
1 Diamond platnumz kenyan artist.
2 Mount kilimanjaro located in kenya.
3 Tanzanite inachimbwa kenya.
4 Bomba la mafuta kutoka hoima uganda mpaka tanga Tanzania, waziri wenu wa viwanda alitaka kuleta unafki bomba lipitie kenya na ikiwezekana bandari ya mombasa ndio itumike museveni akawapiga chini.
5 Sasa mmelikosa shavu la gesi maana mtwara na kenya ni mbali sana, ila kama mtwara ingekua inapakana na kenya basi gesi pia mngesema ya kwenu.
6 Kwa hiyo kumbe hata architect wa aliye design (TPA TOWER) jengo refu africa mashariki na kati ni mkenya asante kwa kutufahamisha sisi wabongo tulikua hatujui.
 
Our Lionesses have cruised into Semi's in Hong Kong


The 15's have got a permission to host German Machines in Nairobi Next month

 
Azura Health and Fitness - Dar es salaam Tanzania
 
Na wakat mwingine ubabe unaleta maendeleo we unafkiri bila dictatorship ya Adolf Hitler wajerumani wangekua na akili sometimes amri moja inasaidia Leo Tanzania ndio nchi inayonekana duniani kwa kupambana na rushwa na ufisadi huoni hio pia ni step moja wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…